the best UNIVERSITY in TANZANIA

Status
Not open for further replies.
UDSM,MZUMBE,ARDHI,UDOM,IFM,MUST hawaihesabu hio A ya divinity au islamic knowledge,so nimeshajua kwann umekwenda SAUT..

Erick zeph Stanley ni hajui kitu.UNAJISIFIA SAUT WAKAT HUKUWEKA HATA CHAGUO LA KWANZA?ULIANZA NA UD WEWE ACHA MBWEMBWE WEWE.EBU MUULIZE YEYOTE MJINI NA VIJIJIN,SAUT HAWAIJUI WANAJUA UD,MU,SUA,DOM,IFM,ARU NA BAADH TIA,VINGNE HAWAVIJUI.MI MWENYEWE NLITAKA NICHAGUE HICHO NKAONA NI BORA NIWEKE ST JOHN.
 
we chizi mm nipo UDSM nasoma economics and statistics,lakini navifagilia UDOM,IFM,MZUMBE,ARDHI,DIT lakini hicho SAUT nahisi wanasoma wavivu waliobebwa na pass za divinity,

haya umeshinda mama ila reasoning zako zinaonesha wewe bado sana kwangu ukibisha ni_Pm nikwambie kitu baba ako anikabidhi kabisa nikuoe
 
we chizi mm nipo UDSM nasoma economics and statistics,lakini navifagilia UDOM,IFM,MZUMBE,ARDHI,DIT lakini hicho SAUT nahisi wanasoma wavivu waliobebwa na pass za divinity,

ebu mwambie huyo.maana ana wivu sana na vyuo,wakat kachagua mwenyew
 
kweli dunia ina mambo. hivi kwa nini huwa tunaendeleza mada hizi. vijana tujadili mstakabadhi wa ajira hasa kwa wahitimu wa vyuo badala ya kutunishiana msuli kila wakati.
 
we ----- baba yangu kasoma statistics UDSM na saiv yupo TRA head quarter ni bussiness intelligence officer na pia mwaka jana amechaguliwa katika bodi ya POSTA ,muulizie USSI HAMZA HUSSEIN ,.chz wewe unaesoma kata TRA Utakusikia kwenye bomba

Swali , hivi TRA wanaajiri watu wa UDSM peke yake?au wanaajili watu kutokana na vyuo fulani fulani?
 
Erick zeph Stanley ni hajui kitu.UNAJISIFIA SAUT WAKAT HUKUWEKA HATA CHAGUO LA KWANZA?ULIANZA NA UD WEWE ACHA MBWEMBWE WEWE.EBU MUULIZE YEYOTE MJINI NA VIJIJIN,SAUT HAWAIJUI WANAJUA UD,MU,SUA,DOM,IFM,ARU NA BAADH TIA,VINGNE HAWAVIJUI.MI MWENYEWE NLITAKA NICHAGUE HICHO NKAONA NI BORA NIWEKE ST JOHN.

bora umwambie wewe,maana mtoto wa kiume analeta mambo ya kina shilole hapa,au mwenzao?
 
kweli dunia ina mambo. hivi kwa nini huwa tunaendeleza mada hizi. vijana tujadili mstakabadhi wa ajira hasa kwa wahitimu wa vyuo badala ya kutunishiana msuli kila wakati.

ujue huyu jamaa anatakiwa apewe somo.
 
Swali , hivi TRA wanaajiri watu wa UDSM peke yake?au wanaajili watu kutokana na vyuo fulani fulani?

sijasema hivyo,ila huyu ana mambo ya ajabu,alimuita baba yangu mburula,wanaajiriwa hata watu wa zanzibar university,ila sifa nyengine kusema kama SAUT kipo juu kuliko chuo chochote hapo ndio tumekosana
 
we chizi mm nipo UDSM nasoma economics and statistics,lakini navifagilia UDOM,IFM,MZUMBE,ARDHI,DIT lakini hicho SAUT nahisi wanasoma wavivu waliobebwa na pass za divinity,
una uhakika kwamba wanaosoma SAUT wamebebwa na somo la divinity? , je wakina juma,ali, asha,awadhi,salum,issa,hussein ambao wanasoma SAUT walisoma divinity?? ,wewe wa UDSM unakipi kikubwa kwa kumdharau MTU WA SAUT?
 
Back
Top Bottom