Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Hallo Wana JF.
Dunia inazid ku-advance kila kukicha. Miaka ya nyuma watu wengi tulikuwa tuki-stream contents from the Web kwa kutumia Computa. Wazungu wakakuna kichwa wakaona kwa nn tusitengeneze kifaa ambacho kitatumika chenyewe tu ku-stream bila ya kutumia PC!?
Ndio wakagundua Streaming Boxes kama Vile Boxee TV/Apple TV/ROKU/WD/Netgear/Sony Box etc.
Kazi ya hizi Streaming Boxes ni kustream Media Online. Unaweza kuangalia Movies kupitia(Netflix/Hulu/VUDU/Vanguard/Verizon/Amazon/Fox/SBC etc.
Pia waweza kuangalia Music/Comedy/History/Lifestyle and social Media nyingine. Pia waweza ona live TV pia kama Dish World etc.
Ukiwa umevutia na hivi vifaa vya kustream,Nataka nikupe list ya Kumi bora Duniani ya hizi streaming Boxes.
1.Roku3
2.Roku2 07:23:22
3.Apple TV
4.Google Cromecast
5.Vizio Co-Star 07:24:01
6.Sony
7.WD
8.Boxee
9.Samsung
10.Netgear
Kama kuna Mtu anaye tumia Hizi streamning Media, Atujuze ufanisi wake ili tuweze kuinjo kwa Pamoja.
Mm nnatumia ROKU3. Hii ni #1 Streaming media Duniani. Imekubalika na watumiaji kwa Stability pamoja interface yake kuwa nzuri. Pia unapata channels zaidi ya 1000. Free contents za kumwaga.