S sokolaboro JF-Expert Member Joined Dec 1, 2011 Posts 313 Reaction score 54 Feb 7, 2012 #1 Wadau naomba mnijulishe mimi natumia MediaCom mft 910 +New Je kuna Satellite recever aina nyingine ambayo kwamba naweza kupata Tv channel nyingi kuliko niliyo nayo? Naomba kufahamishwa kwani nataka kununua nyingine.
Wadau naomba mnijulishe mimi natumia MediaCom mft 910 +New Je kuna Satellite recever aina nyingine ambayo kwamba naweza kupata Tv channel nyingi kuliko niliyo nayo? Naomba kufahamishwa kwani nataka kununua nyingine.