The best of harrison ford | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The best of harrison ford

Discussion in 'Entertainment' started by mambo, Mar 24, 2012.

 1. mambo

  mambo JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 1,706
  Likes Received: 1,306
  Trophy Points: 280
  Wana jf wenzangu natumai mwaendelea vyema na wkend.
  Nikirudi upande wa Harrison Ford mimi mpenzi wa movie zake nyingi hasa pale anapokutana na mikiki ya hali ya juu na kupambana wakati mwili wake ni wa kawaida.
  Baadhi ya movie zake ambazo zinanimaliza mtima ni
  The fugitive
  Clear and present danger
  Firewall
  Air force one
  Witness
  What lies beneath
  Hollywood homicide
  Sio siri namkubali hasa anavyoonekana mnyonge mnyonge lakini akianza kazi zake huwezi amini
  Let's discuss kwa wale ambao tunamkubali
  Nawakilisha
  Mambo.
   
Loading...