mkali mimi
Member
- Aug 7, 2012
- 78
- 15
Mobile operating systems zinaonekana kupambana vlivyo kwenye soko. Ujio wa WP8 ni changamoto kwa other os kama android na ios. ila android imeendelea kubamba, nadhani mtakubaliana nami. chek source izi
SOURCE 1
SOURCE 2
SOURCE 3
Nshawahi kutumia os kadhaa bt android hakuna mfano, najua wengi mtakubaliana nami.
SOURCE 1
SOURCE 2
SOURCE 3
Nshawahi kutumia os kadhaa bt android hakuna mfano, najua wengi mtakubaliana nami.

