The best endocrinologist in dar... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

The best endocrinologist in dar...

Discussion in 'JF Doctor' started by The Boss, Nov 4, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Nina mtu ambae ambae mwanae ameshauriwa amuone
  endocrinologist....

  sasa najiuliza endocrinologist ni watu gani hasa?
  wame specialize na nini???

  kwa Daresalaam wapi kuna the best endocrinologist???????
   
 2. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2011
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Endocrinologist ni madaktari waliobobea kwny magonjwa ya hormones za mwili-ambazo ni nyingi sana, ilaugonjwa wa kisukari pia ukiwepo. Hii ni super speciality, yaani inabidi daktari awe amesomea kwanza udaktari bingwa wa magonjwa ya ndani au ya watoto (yaani awe physician au pediatrician) halafu ndo awe endocrinologist. Kwa hapa Tanzania, sina uhakika ila sidhani kama wapo..Nashauri kama ni mtoto chini ya miaka 12 umwone Pediatrician-daktari wa watoto au kama ni zaidi ya hapo uwaone physicians!
  Kwani ana tatizo gani hasa?
   
 3. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2011
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Bonge uko sawa; ushauri mzuri amuone physician na kama ni mtoto aende kwa Pediatrician(daktari wa watoto). Madaktari waliosoma endocrinology wengi ninawaowafahamu ni waalimu wa physiology ambao wamesoma zaidi mfumo (ednocrine system) na sio clinical. The Boss, pengine ueleze kwa ufupi tatizo la mgonjwa, na usahuri wa kwenda kwa endocrinologist amepewa na nani? Specialist au...unaweza kusaidiwa wapi pa kuanzia
   
Loading...