badei
Member
- Mar 12, 2023
- 73
- 127
Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu..
Maneno kumiHii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
Mjomba kazoa
Ringo
Mzome