Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,435
- 37,372
GOAT 🐐 NI MAREHEMU MAX enzi izo hakuna script ni kupewa title na ku freestyle.Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Mzee Athumani Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
Unajua MAX na ZEMBWELA enzi izo ndio waasisi wa MIZENGWE ambayo mpaka Sasa inaruka ITV.
MAX alikua born comedian yaan ni talent utavunjika mbavu na vituko vyake..
UNAJUA MAX NA ZEMBWELA NDIO COMEDIAN PEKEE WALIO KUA WANATEMBEA NA FIESHA ENZI IZO..
MAX Ina semwa alikufa kwa ukimwi maana usupastaa ulimkaa na alikuaga bonge la HANDSOME BOY piga Sana machine warembo.
Nyumbani kwetu..ardhi ya nyumbani Kuna Kanda (tape) 📼 za VHS nilirekodigi enzi izo maigizo YAPO ITV yaan utacheka ufee
Of course Mimi na jicho la kugundua vipaji mbali mbali na Mimi huwaga Kama VAR nimalize kwa kusema max alikua mtu mbadi.. MAX alikua mtu na nusu kwenye UCHEKESHAJI
NI MAREHEMU MAX enzi izo hakuna script ni kupewa title na ku freestyle.
za VHS nilirekodigi enzi izo maigizo YAPO ITV yaan utacheka ufee