Akilihuru
JF-Expert Member
- May 20, 2022
- 1,522
- 3,039
Hii ndio list ya wachekeshaji bora wa aina zote katika nchi yetu, yani kuanzia kwa waliofariki hadi waliopo hai. Kama kuna wengine ambao sijawaweka kwenye list basi naomba uwaorodheshe hapo chini ili kuutambua mchango wao na vipaji vyao katika taifa letu.
1. Amri Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...
1. Amri Athumani (King Majuto) RIP.
2. Kingwendu kingwendulile (huyu nimesahau majina yake halisi).
3. Mzee Jangala (wale wa miaka 80s to 90s) nafikiri mnamuelewa huyu mzee.
4. Max (RIP)
5. Joti.
6. Pembe (RIP)
7. Bambo.
8. Senga.
9. Mtanga.
10. Mpoki.
11. Masanja.
Karibuni muongeze list wakuu...