KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Ila mkuu kule juu (mwanzo) umetaja j7 ya mwaka 2016, na hapa umetaja ya mwaka 2017, sijakusoma ipi nzuri.all around namaanisha
-camera
-ukaaji chaji
-uimara wa simu
-perfomance ya kutosha matumizi ya kila siku
-support ya simu
simu kama j7 ya 2017 ina tick box zote hizo. lakini ndio matumizi ya kawaida tu ukitaka matumizi makubwa itakuwa slow
ni mistake ya uandishi tu nimemaanisha ya 2016, ya 2017 haijatoka badoIla mkuu kule juu (mwanzo) umetaja j7 ya mwaka 2016, na hapa umetaja ya mwaka 2017, sijakusoma ipi nzuri.
inapatikana bongo kwa sasa?all around namaanisha
-camera
-ukaaji chaji
-uimara wa simu
-perfomance ya kutosha matumizi ya kila siku
-support ya simu
simu kama j7 ya 2017 ina tick box zote hizo. lakini ndio matumizi ya kawaida tu ukitaka matumizi makubwa itakuwa slow
zipo ndio ila last time nainunua samsung hawajaizindua official ilikuwa ni duka tu wana import ulaya.inapatikana bongo kwa sasa?
poa chiefzipo ndio ila last time nainunua samsung hawajaizindua official ilikuwa ni duka tu wana import ulaya.
unaweza cheki maduka ya samsung kama wamezileta
bei zake sh ngapzipo ndio ila last time nainunua samsung hawajaizindua official ilikuwa ni duka tu wana import ulaya.
unaweza cheki maduka ya samsung kama wamezileta
Zipo zinaenda moaka 900kbei zake sh ngap
Ni around 500,000 hivibei zake sh ngap
kat ya brand ya 2015 na iyo ya 2016 tofaut yake n nnNi around 500,000 hivi
Tofauti kubwa kabisa ni battery, ya 2016 inakaa sana na chaji upande wa perfomance zinafanana,kat ya brand ya 2015 na iyo ya 2016 tofaut yake n nn
thanxx manTofauti kubwa kabisa ni battery, ya 2016 inakaa sana na chaji upande wa perfomance zinafanana,
Pia ya 2016 ina frame za alluminium hivyo inaongeza ubora, na ram wameiongeza toka 1.5gb hadi 2gb.
Sema kama unayo tayari j7 ya 2015 hakuna haja ya kununua ya 2016 subiria tu ya 2017 kama huna kabisa maybe.
kuna njaa na majanga kagera unataka kununua simu ya hela nyingi hivyoWadau nataka kununua smartphone ya Android ya chini ya ya laki 5 nishaurini ninunue ipi?
kuna simu nimeiona inaitwa techno w5 lte android version yake ni6.0 Marshmallow internet speed ni 4g lte betri3000 mah camera ni 13 px na na internal Memory ni 16 gb na pia sceen yake ina fingerprint sensory bei ni kama 250,000 unasemaje kuhusianakama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata
simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x
kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.
kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,
Mkuu una uzoefu wa kutumia hii simu; nataka kununua mkuu unanishaurije? Uliipata kwa bei gani?Infinix hot s,ni shida
Mkuu kwa sasa hivi soc (processor) yenye nguvu na kutunza chaji sana inaitwa snapdragon 625 fumba macho tafuta yoyote ya snapdragon 625 ujue una mtambo wa kukaa na chaji.Mi nataka smart phone cm inayokaa na charge mda mrefu ni ipi? Mengine yote ya ziada
Mkuu huwa mimi sishauri watu kununua simu za mediatek, tecno etc na kama unavuka zaidi ya laki 2 nafikiri ni vyema ukatafuta angalau simu yenye ram 2gb sababu hizo simu za quadcore na ram ya 1gb zipo nyingi chini ya laki 2kuna simu nimeiona inaitwa techno w5 lte android version yake ni6.0 Marshmallow internet speed ni 4g lte betri3000 mah camera ni 13 px na na internal Memory ni 16 gb na pia sceen yake ina fingerprint sensory bei ni kama 250,000 unasemaje kuhusiana
asee jombaa iyo xiaomi inapatikana wp na bei zake vp Chief-Mkwawakama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata
simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x
kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.
kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,
asee jombaa iyo xiaomi inapatikana wp na bei zake vp Chief-Mkwawakama unataka simu nzuri all around kwa budget hio tafuta galaxy j7 ya mwaka 2016 au j3 ya mwaka 2017. hio miaka ni muhimu kuzingatia, simu za samsung ni rahisi kuzipata
simu nyengine nzuri kwa hio budget ni
-huawei p8 lite ya mwaka 2017
-motorola g4 plus
-huawei honor 5x
kama una uzoefu wa simu flagship za mwaka 2014 unazipata kwa budget hio kuanzia galaxy note 4, xperia z3, galaxy s5, lg g3, etc sema hizi nyingi sio mpya.
kama perfomance ndio muhimu zaidi kwako tafuta xiaomi redmi note 3,
uhakika zinapatikana kenya kwa 400,000asee jombaa iyo xiaomi inapatikana wp na bei zake vp Chief-Mkwawa