Fahami Matsawili
Senior Member
- Mar 8, 2018
- 172
- 153
Namna watu wema huko Duniani wanavyotamani Rais wetu Mhe John Pombe Magufuli angekuwa Rais wao katika nchi zao. Cha ajabu hapa nyumbani wapo Watanzania wenzetu hawatambui hilo.
Hii ndio kusema Nabii hathaminiki nyumbani kwao lakini duniani na Afrika inamuhitaji sana Rais John Pombe Magufuli kuliko Watanzania wachache wasiojielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio kusema Nabii hathaminiki nyumbani kwao lakini duniani na Afrika inamuhitaji sana Rais John Pombe Magufuli kuliko Watanzania wachache wasiojielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app