The Beauty of African Wedding

Wonderful!
Mzee wa AfricaSana alikuwa anaoza bintiye!

kuweka kumbukukumbu sawa kaka huyu si mwanae..yeye alikuwa muwezeshaji tu..bi harusi ni dada yake na mwenzi wangu mama gaude...ushanifahamu !!!
 
Tatizo tulilo nalo sisi waafrika ni kupenda kuiga, tukiacha kuiga tukafata mila na desturi zetu pengine tutaweza kufanya kitu fulani, harusi hiyo ukiuliza imegharimu bei gani , unaweza ukakimbia jinsi ilivyokula mapesa, hongera zenu maharusi
 
Duuuh! Maria Roza unawajua mpaka majina??? Ulikuwepo nini??

Maria rosa zebu ni pm nikualike kwenye harusi yangu maana naoa mdogo wa Mija mie..uwepo kuhanikiza vigelegele tafadhali
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom