The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,140
- 116,064
Kuna homework ilitolewa? au ndio kwenye daily routine :]]
daily routine zinaacha 'home work' pia...lol
Kuna homework ilitolewa? au ndio kwenye daily routine :]]
Sijui huyu mtoto yuko wapi mimi nilikuwa gonjwa banaauli lie low au SL alikuficha La Gemma zanzibar?huko nasikia kila chumba kina swimming pool yake,hongera aisee
Hakuna anayekupiga dongo wala nini unajishtukia tuuAisee nimekusoma loud and clear ndio maana Bishanga na Rocky wananipiga madongo sana.
daily routine zinaacha 'home work' pia...lol
Dah! Bishanga unaua CV watu wanaichafua kweliHusn kwa TF kafa kaoza,ila leo kanambia amemtupia hukooooo kwenye dampo la chanika,kamchoka.
Hakuna anayekupiga dongo wala nini unajishtukia tuu
Kumbe Boss got an assignment to do...Si madogo kumbe! :]]
Kumbe Boss got an assignment to do...
Boss jina tu kumbe anapeleekeshwa pute ile mbaya!
Uskute assignment ni kuchunguza "what's bibie's favorite color"!
Mhh jambia wakati jamaa ana bastolamwambie mi natembea na jambia
is that a challenge from you??
lol.......be carefull on what you wish for....lol
Boss utakuwa unanionea banahivi Rocky umenisoma niliposema
wewe ni no 2 now kwenye list?????
according to research..
Kaoge na maji ya mto msimbazi unaweza takata kidogo.Dah! Bishanga unaua CV watu wanaichafua kweli
Boss utakuwa unanionea bana
Mimi siko kabisa huko
Tf ndio mchakachuaji na CV yake iko juu kwenye fani
"wasi wasi wako ndo maradhi yako"
QUOTE=The Boss;2763724]wewe ni no 2 now kwenye research ya
vidume vya jf.most desired by ladies...baada ya TF
hiyo research bado haijawa published...but nimeiona..ulikuwa hujui....
Hivi Gaijin umenihama mara hii. Tulianza vyema alipokuja tuu TF ukanikimbia
Mbaya sana hapo
Duh itabidi nikubembeleze bana unikubalie kuwa na urafiki wa kuendeleaHivi hukuwa unajua kuwa "sina urafiki wa kuendelea"?