HARUFU,Tanzania ni nchi nzuri sana na yenye vitu vingi vya asili, tatizo ni sisi wenyewe
HARUFU,
Lushoto ni mahali pazuri sana. Infact Germans walitaka kupafanya makao makuu ya Tanganyika. It is the only district town iliyo na a superb colonial State House inayofanya kazi yake hadi sasa
Lushoto ina hazina kubwa sana ya wanyama wadudu na mimea ambavyo havipatikani popote duniani misitu ya shume na kwingineno imebeba hii hazina lakini inatoweka kwa ukataji hovyo wa miti