pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,344
Baada ya mswada wa Constitutional Ammendment Bill 2020(BBI) kutupiliwa mbali na bench ya majaji watano, wa Mahakama Kuu. Kisa shughuli yenyewe ya kutayarisha mswada wa kurekebisha katiba haikuendeshwa kulingana na kanuni zinazofaa kisheria chini ya katiba ya Kenya 2010. Hatimaye rais Uhuru na serikali yake, Rt. Hon. Raila Odinga na 'other interested parties' wamepata siku yao mbele ya mahakama baada ya kukata rufaa.
Yanayojiri live ndani ya Mahakama ya Rufaa, jijini Nairobi;
Historia kidogo kuhusu BBI, mswada wenyewe na yaliyojiri hadi Mahakama Kuu ilipotoa hukumu yake mwezi uliopita; Kenya: All Eyes On Appeals Court As Judges Set to Rule On BBI
Hakuna kesi nyingine ambayo imeibua hisia nyingi na ambayo itaendelea kuibua hisia nyingi zaidi, hata baada ya hukumu, tangia mahakama ibatilishe uchaguzi wa urais mwaka wa 2017.
Yetu macho tukifatilia kesi hii kwa umakini, nawarai wakenya wote wakubali hukumu na maamuzi yatakayotolewa na mahakama.
This is a good day for democracy in Kenya, as it was intended through the spirit of the rule of law and the Constitution of Kenya 2010. VIVA KENYA!!!