The BBI Decision, hukumu na hatma ya mswada wa BBI kutolewa leo hii na Mahakama ya Rufaa

Focus on bongolala authoritarian politics. Mambo ya democracy ni Greek kwenu.
Democrasia wapi nyie manyang'au...
sasa hv utasikia kuna mtu kauwawa....
ni kawaida yenu uchaguzi ukikaribia lazima watu wafe 2012 George Saitoti,2017 Nkaisery na Msando 2022???
 
2017 bila handshek ya Laila na Uhuru Kenya ilikuwa haitawaliki!
Mimi bado nawashangaa majaji kuitupilia mbali BBI!
Handshek ndio nini na Laila ndio nani? Acha kukariri jombaa, unawaza kiujamaa ujamaa sana. Hoja yako ni sawa na kusema kwamba ni haki jaji kukupiga faini na kuagiza ucharazwe viboko. Kwenye hukumu ya kesi ulioiwasilisha mahakamani wewe mwenyewe. Baada ya jirani yako kuiba ng'ombe wako, wakati ni wazi kwamba sheria inaegemea upande wako. Kisa eti jaji ananuia kudumisha amani kwasababu jirani yako ni mbabe kupindukia. Huo ni upumbavu uliotukuka.
 
Handshek ndio nini na Laila ndio nani? Acha kukariri jombaa, unawaza kiujamaa ujamaa sana. Hoja yako ni sawa na kusema kwamba ni haki jaji kukupiga faini mahakamani, wakati wewe ndio umewasilisha kesi baada ya jirani yako kuiba ng'ombe wako. Kisa eti jaji ananuia kudumisha amani kwasababu jirani yako ni mbabe kupindukia.
Sasa hv unapiga kelele kwa kuwa amani ipo
 
Sasa hv unapiga kelele kwa kuwa amani ipo
Unaelewa chochote kuhusu haki na sheria? Hebu nieleze hoja tano tu zilizokuwa zinazungumziwa kwenye mswada wa BBI. Usione sifa kujiabisha bure. Mada za jukwaa hili zinakupita kushoto buda, acha ubabaishaji. Kwani ulitimuliwa kwenye lile jukwaa lenu pendwa la MMU? :)
 
Back
Top Bottom