The Bashite Effect: Ministerial responsibility VS State responsibility

Nina uhakika andiko hujalielewa.!
 
Daaah, kweli huyu bwana kafunua unafiki wa binadamu fulani hivi
 
Mkuu Nguruvi nakushukuru sana kwa huu mchango wako.
Lakini mimi nimefikia hatua ya kusema kwamba hapa Tanzania ni suala la muda tu, tusubiri.
 
Braza Malcom wakisoma hapa kwa makini wataacha ule msemo 'Rais ana nia nzuri ila anaangushwa na wasaidizi wake'. Wamekuwa wakitaka kutuaminisha kuwa Serikali na Rais hawahusiki na matendo mabaya ya wateuliwa.
Ndugu, usidanganyike kirahisi.
Kamwe samaki hawezi kutoa machozi
 
Wauza ngada na mashoga mlishikwa pabaya na Makonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…