kwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.
coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.
kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.
Umejuaje mi mkubwa..!
Nataka kuanzisha ligi na Paw...............
kupika supu si ni kuchemsha tu, unahitaji jiko na ingredients
mboga unamaanisha salad au cha kulia wali au ugali?
usisahau na microwave, zipo zinazopika mazagazaga yote mpaka huo wali unaoununulia rice cooker
hata hii kitu ni muhimu kuwa navyo kwa vyakulaa mbavyo ni vibishi kuiva . lol
Yap yap hata salads tu muhimu, ni kifaa gani kinatengeneza fasta
Wewe naye umefanya haraka kama unaandika huku umepanda baiskeli.............Hebu nenda polepole mdogo wako nielewe!! niachane na chukuchuku.......Tahadhari: usitoe twisheni ya mapishi yanayozidi dakika 15, nataka ya fastafasta
atakuwa alitumia presha cooker, zipo za dizaini tofauti na ukubwa tofauti tofauti. mboga za kuunga hazina chombo zaid ya sufuria na mwiko na ndo mana nakushari utumie non stickyThanks a lot sister, but kuna kifaa sikijui jina nilikiona uganda nahisi hata bongo kitakuwepo, yaan nilifika sehem mtu akaandaa supu ikaletwa ipo kwenye kitu kama rice cooker na ilikuwa imetoka nzuri kweli, now ndo nimekikumbuka but sikijui jina nashindwa nikakitafute vipi. Kama unafaham jina ya hiyo kitu msaada please. Shuran sana hizo non sticky sufuria hopin kuosha ni rahisi sana, what about kuunga mboga kwa urahisi kifaa gani muhim?
Unahitaji friji yenye kifriza (kwa ajili ya kuweka mikate fresh). Kuna sandwich maker, hii unatumia kuchoma sandwich. Unaweza kutengeneza nyama ya kusaga ama ya kuku na kabichi kibao ukahifadhi. Then unatengeneza sandwich, its a quick meal anytime.
Microwave nayo yenye steamer na grill ni mwake mwake. Unaweka mazagazaga ukimaliza kuoga msosi tayari. Inapasha na kudefrost akiba za viporo pia.
Nimesahau, non stick sufuria. Very easy to wash.
Nalo halina mambo ya mitungi? Sipendi majiko ya gesi especially muda wa kubeba mtungi ukaujaze gas.. Hilo jiko lipo vipi?
Hahahaha, ukiwa na hii inabodi uwe na mke wa kijijini kwa ajili ya kuokota kuni. Ni vifaa muhimu kwa kweli,lol
He heh umenivunja mbavu maake zingine zinatoa ''volcano'' kwa kukaa muda mrefu bila kuoshwa,ila Rice cooker nayo poa sana unatupia tu mchele wewe unaendelea kuangalia MerlinNimesahau, non stick sufuria. Very easy to wash.
Ndio maana inaitwa Rice cooker,kupikia maharage rice cooker haitaweza ,bali unaweza kupikia vitu vya fasta pia kama unapenda vitu vya kuivia mvuke kama mboga mboga,samaki rice cooker pia ni mwake,usije unguza nyumba kwa kupikia maharage kwenye rice cooker,nunua pressure cooker ufaidi mandondo na makandeKing'asti ingawa mi si muanzisha thread ila nakupa bonge la THANKS...umenifunza mambo.
Btw mi sina rice cooker maana sipikag maharage aisee nkitaka kuyala naenda mgahawani tu.
Kama ulikuwa moyoni kwangu hiyo kitu kwenye red naweza nunua wapi hapa Dar nataka ya matumizi ya nyumbani, chezea chapati wewekwa kuongezea kwa King'asti, nunua deepfrier kwa ajili ya vyakula kaa chips na kuku,nk ambavyo utatosa kwa mafuta, hakikisha sufuria ni non sticky, na vyombo ni dish washing, usiache kununua axion kwaajili a kuoshea vyombo na pot scrubber.
coffee maker inakuhusu kwaajili ya kahawa ama chai, na salad maker hii itakusaidia kutengenezea salad has kwenye chopping, pia blender kwaajili ya juice. friji nunua yenye water dspenser ili ukwepe maji ya vichupa.
kwa kuhifadhi vitu kwenye jokofu nunua plastic tins, na fridge jug kwaajili ya juice. kama ni mtu wa berbcue nunua meat berbecue, na kama ni mpenzi wa chapati nunua frying pan ya umeme. egg boiler usisahau. nimesahau nini tenaa ngoja nikumbuke nitarudi kukwambia.
Tunaita indeko inafaa sana kuwekea maji kwa wasio na fiiji,ukiwa na mtungi kama huo ni kama una friji ya kuwekea maji,maji yanakuwa bariiidi ,hata hii kitu ni muhimu kuwa navyo kwa vyakulaa mbavyo ni vibishi kuiva . lol
Kama ulikuwa moyoni kwangu hiyo kitu kwenye red naweza nunua wapi hapa Dar nataka ya matumizi ya nyumbani, chezea chapati wewe
He heh umenivunja mbavu maake zingine zinatoa ''volcano'' kwa kukaa muda mrefu bila kuoshwa,ila Rice cooker nayo poa sana unatupia tu mchele wewe unaendelea kuangalia Merlin
CHUNGU KINAFANYA KAZI KWENYE JIKO LOLOTE LIWE LA UMEME, GAS, KUNI HATA MKAA.
Chungu ni moja ya vifaa vya kupikia salama zaidi kuliko vingine vingi.