HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,394
Kama wewe ni wa ukoo wa islam au sehemu ya waraabu basi hizo mila/dini ya islam ni halali yako kupitia humo kumuabudu Mungu.Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu
Ushuzi unatauona kwa sababu hujui kilichoandikwa na hakikuandikwa kwaajili yako bali kwaajili ya WAAFRIKA WALIOHAI KIFKIRA.Si unaona ulovyo mpumbavu. Huku unajiponga na ule ushuzi wako uliouandika kule.
Kama wewe ni wa ukoo wa islam au sehemu ya waraabu basi hizo mila/dini ya islam ni halali yako kupitia humo kumuabudu Mungu.
Kinachoachwa hapa ni njia za kumuabudu Mungu ambapo Wafrikana wameacha zakwao na kufuata za wazungu na waraabu zenye mapungufu mengi sana i.e:biashar ya utumwa,ufiraji,nk
Hilo lilikuwa ni swala la kujionheza tu na kuona kuwa Waafrikana wajinga wa Kiafrika walio wengi ni wanaomfuata yesu kuliko mohamed.Mbona umesema dini halafu ukamtaje Yesu peke yake je wewe ni wakala wa mpinga kristo!
Afrika Kuna wailsam wengi kuliko wakristo unajua kuhusu hili bwana mpinga kristo?Hilo lilikuwa ni swala la kujionheza tu na kuona kuwa Waafrikana wajinga wa Kiafrika walio wengi ni wanaomfuata yesu kuliko mohamed.
La msingi tu ni kujua kuwa ninyi wote NI WAAFRIKA WAFU WANAOTEMBEA KTK SWALA LA ASILI YA MWAFRIKA.
View attachment 2828585
Sema Broo unachoongea upo sahihi sana dini tulizonazo nizawatuwajammii nyengine nawala sio jamii za afrika,ataukiangalia dini hizo zinatamatuni za uko kwao ata historia namaeneo ni yaupande wao.... Kabla ya dini hizo jiulize Afrika tulikuwa na dini gani,Na kama tusinge tawaliwa na waarabu na waingereza ungekuwa unaabudu nn kwa sasa....Tatizo letu ss tunaakili za kushikiwa sana tumeaminishwa kufananisha dini zetu za Kiafrika na Uchawi, lakini sisi tumeshidwa kufananisha dini zao na Utapeli na unyonyaji....Bro,kwa upande wangu nikuombe kitu kimoja tusianzishe dini nyengine apana Bali tutafute dini zetu za kiafrika ambazo zilikuwa na maadili yakiafrika sikiwa lugha zetu na sio lunga zawengine..[emoji1545]Hii ndiyo dini inayotufaa kwa sasa kama hawa hapa chini walianzisha dini zao za kikristu chini ya yesu ndani ya ulaya sasa na sisi WAAFRIKA tuanzishe zetu ndani ya AFRIKA.
Mimi ninaanzisha hii dini kwa WAAFRIKA wanaojitambua tu,weka hapa makala, maoni, picha, ushuhuda visivyo kashifu dini nyingine lengo likiwa ni kuwaamusha waafrikana waliopotea.
MISINGI:-
Msingi mkubwa wa dini hii utakuwa ni kuwaamusha WAAFRIKA kwa kuwakumbusha walikotoka na walipokosea na pia kurekebisha yale yote wanayodhani ni dhambi kwa kukaririshwa na wazungu.
LENGO KUU:
Lengo ni kuondoa unyonyaji unaoendelezwa na wakoloni weusi kupitia sadaka na zaka hasa kwakuwanyonya madikini wa fikira na mali waliowengi mbadala wake uwe ni kuwainua maskini wote kwa kuwawezesha kutokana na dini hii hivyo kuondoa SADAKA bali kuwapa WAO SADAKA kitu ambacho kinawezekana
WAUUMINI wa dhehebu hili wataweza kuwasaidia MASIKINI kwa kuwapa UWEZO WA KIMAISHA kupitia MICHANGO itakayopatikana katika IBADA zetu hakuna MASIKINI atakayelazimishwa kuleta PESA kanisani hadi atakapoweza kusimama kiuwezo ndipo na yeyevataanza KUWACHANGIA wengine kuweza kuwainua .View attachment 2822069View attachment 2822070View attachment 2822071View attachment 2822072
Hakuna kitu kama hicho kabisa nakupinga!!Afrika Kuna wailsam wengi kuliko wakristo unajua kuhusu hili bwana mpinga kristo?
Uko sahihi.Sema Broo unachoongea upo sahihi sana dini tulizonazo nizawatuwajammii nyengine nawala sio jamii za afrika,ataukiangalia dini hizo zinatamatuni za uko kwao ata historia namaeneo ni yaupande wao.... Kabla ya dini hizo jiulize Afrika tulikuwa na dini gani,Na kama tusinge tawaliwa na waarabu na waingereza ungekuwa unaabudu nn kwa sasa....Tatizo letu ss tunaakili za kushikiwa sana tumeaminishwa kufananisha dini zetu za Kiafrika na Uchawi, lakini sisi tumeshidwa kufananisha dini zao na Utapeli na unyonyaji....Bro,kwa upande wangu nikuombe kitu kimoja tusianzishe dini nyengine apana Bali tutafute dini zetu za kiafrika ambazo zilikuwa na maadili yakiafrika sikiwa lugha zetu na sio lunga zawengine..[emoji1545]
Yeah . Nikweli kabisa italemanufaa makubwa sana kwa Afrika sababu watu wengi sana wanapotoka nadini hizi ambazo zinatokomeza utamaduni wa Africa ...Hii inapelekea Umasikini mkubwa kwa waumini...Ningeomba wa Afrika wenzetu msitufikilie vibaya tunahitaji kutunza mila na desturi zetu,pia hata lugha zetu,uasili,historia..Hata Majina ya mshujaa wetu katika vitabu vyeti takatifu..Atupo kupinga dini nyingine .Uko sahihi.
Hapa nilimaanisha kuunganisha mila na tamaduni zetu kwa kuziandika pamoja kwenye kitabu kimoja halafu tukatafuta jina la pamoja i.e:AFRIKAN TRADITIONAL CHURCH