The automated web app for unlocking smart phone is available for sale

The automated web app for unlocking smart phone is available for sale

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
131
hi wanajf am web developer nimedevelop webapp for sale

  • the app is coded to receive the clients details such as clients email adress,phone EMI,phone category,phone model etc the system submits those details to unlock code providers, the code generated is sent directly to clients email adress
  • the transaction is processed by paypal system and am working on adding pesapal
  • all smartphones on this planet earth can be unlocked by that system
kwa wale mafundi simu,entrepreneurs,na wauza simu za jumla this is the right tool to make a serious cash online.....if u need that system contact me through 0654262419 OR rechungura1@gmail.com
 
kwanza umedevelop au umemodify za watu au umechukua ambayo ishatengenezwa?
 
nimedevelop bab......wazee wa reverse engineering nadhan wamenisoma hapo.........
 
hizo za kwenye playstore zinawafaa wale customers wanaounlock simu mojamoja.........ukitumia hizo za kwenye playstore code unazichikua kwa web owner sio directly kwa code superdealear ie unauziwa code kwa bei ya rejareja sio jumla....but kama unataka uwe wholesalers wa unlock code ie unaunlock 1000 smartphone daily worldwide you need your own tool ili ikuunganishe moja kwa moja kwa superdealer....njia ya kuzitengenezea free mobile app ni njia ya kujioongezea wateja but hao wateja wana interract na wewe sio superdealer....
 
kwa wasiojua unlock code huwa zinapatikanaje ni hivi........super dealers huwa wanarequest unlock code kutoka makampuni yaliyolock sim kwa bei karibu na bure......super dealer huwa huwa wanauza code kwa wholesalers kwa bei ya juu kidogo.... then wholesalers huwa wanauza code kwa wachuuzi wadogo wadogo kwa bei ya juu then wachuuzi wengi hujifanya wholesalers na kuziuza tena kwa wchuuzi wenzao kwa bei ya juu..........then wachuuzi ndo wanakuuzia wewe hapo mwenye kutaka kuunlock simu yako.........so developers huwa wanafanya/tunafanya automation the whole process iwe inafanyika online..........hao wanaomiliki free mobile app ni wachuuz wadogo wadogo ambao wamedevelop mobile version kutoka web version
 
watanzania tuwe na uzalendo wa kupenda vitu vilivyotengenezwa na watanzanzania wenzetu........ningependa siku moja project kubwa za software development zifanywe na watanzania badala ya kwenda india na russia na nina iman itawezekana kwa sabab kuna vijana wadogo kiumri hapa tz wanajua vitu ambavyo viko more advanced................
 
i still doubt kama hii umedevelop wewe wakat huna hata sample moja ya website uliotengeneza sembuse application sema umefanya re engneering ukaweka labda jina lako au ukachuku project github
 
hasa mtu ukifikia level ya kufanya reverse engineeering kuna shaka gani tena na ujuzi wako...........anyway project nyingi nliizokuwa nazo nimeziweka kwenye local server...........muda wowote kuanzia sasa utaweza kuziona...........kwa ufupi am ex student wa dar es salaam institute of technology
 
Back
Top Bottom