TanzaniaLaw
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,298
- 482
Nikujibu mara ngapi? Au kwasababu majibu yangu yakufuarishi ndio unataka nijibu Kiislamu? Hakika Unamacho alini huoni. Una masikio lakini husikii.Uwe mstaarabu. hukuona hayo maswali au unaogopa nini?
Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
Pata ushahidi hapa halafu endelea na ukafiri wako.
Link Surat Al-Baqarah [2:97-98] - The Noble Qur'an - ?????? ??????
Wewe huna jipya zaidi ya kuonyesha kuwa Yesu ni Mungu, ndio maana Malaika wake Yesu alitangulia kupeleka Ujumbe. Sasa nionyeshe, wapi Allah anapeleka ujumbe kuhusu Muhammad?
Ujumbe wa Gabriel ulikuwa kuhusu Mfalme wa Wafalme, Yesu Kristo kuja Duniani.
Aliye Mtuma ni Yesu Mungu.
Vipi mbona umeanza kuweweseka?Yale Yale ... Ukitaka ushahidi kuhusu Quran unaambiwa ni mtume Muhammad, ukihoji kuhusu mtume unapewa Quran Kama ndiyo ushahidi.
Majanga mwanzo mwisho.
Kwa maneno haya leo unakana msimamo wako wa awali kuwa Mungu hahitaji msaidizi?
Kwa nini Mungu alihitaji msaada wa Malaika Gabriel kufikisha ujumbe?
Mungu alizungumza direct na Moses au umesahau hili?
Sasa vipi Mungu alishindwa kuzungumza direct na Bikira Maria?
Pia hujajibu swali. Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani? Ujumbe huo ulitoka kwa nani?
Yale yale. Kijana hivi unafikiri watu bado wapo zama za ujima katika Uislam?
.........
Yale Yale ... Ukitaka ushahidi kuhusu Quran unaambiwa ni mtume Muhammad, ukihoji kuhusu mtume unapewa Quran Kama ndiyo ushahidi.
Majanga mwanzo mwisho.
Vipi mbona umeanza kuweweseka?
Ulidai ushahidi wa Quran, sasa kwa nini unakwazika?
Kwahiyo, Gabriel ni MSAIDIZI WA ALLAH? Huu MSIBA utaisha lini wajameni?
Of course Mungu alizungumza direct na Moses LAKINI HAKUWAI ONGEA NA MUHAMMAD HATA MARA MOJA.
Of course Mungu alizungumza direct na Mitume wote wa Biblia. Msiba ni KWA MUHAMMAD ALIYE JIPA UTUME NA KUTO ONGEA NA MUNGU HATA MARA MOJA.
Of course Gabriel alitumwa na Yesu na sio kwamba Yesu hakuweza kuzungumza naye DIRECT, LAKINI ALLAH YEYE HANA MSAIDIZI. JE, Jibril sasa ni Allah? Kumbuka Allah hana MSAIDIZI.
Of course, Gabriel alipeleka Ujumbe kuhusu kuja kwa al Masih, Mfalme wa Wafalme, Yesu Al Malik.
SASA: Jibril ni nani kwa Allah kama sio MSAIDIZI?
KWANINI ALLAH ASEME hana Msaidizi huku kila kukicha anamtuma JIBRIL?
Oooops, Kumbe Jibril ni Allah.
Napata shida kuelewa ninyi mnatumia nini kuwaza. Aliyeghani Quran ni Muhammad. Maneno yaliyopo kwenye Quran yaliyoka kichwani/ Moyoni mwa Muhammad kupitia kinywa chake.
Ukiulizwa juu ya uhalali wa Quran kuwa ni maneno ya Mungu wa kweli, jibu unaambiwa Quran yenyewe inathibitisha.
Sasa ninyi watu iweje ushahidi juu ya Quran utoke kwenye Quran hiyo hiyo ? Fact ni Quran yenyewe; Reality ni Quran yenyewe.
Ninyi kweli misukule...
Ding Dong ding dong, sasa nakaribia kutoa pepo kwako.Mapepo yamekuinga kwa speed mkuu?
Nimekaa hapa na popcorn nasubiri ujibu haya maswali.
Malaika Gabriel alipeleka ujumbe gani kwa Bikira Maria? Na ujumbe huo ulitoka kwa nani?
First they are not facts
I am happy you used the word believers "believes". My account on the intrinsic human value was naturalistic one. It was not based on any religion.
So when you follow you claim does it mean that when someone stop believing in creator does it follow necessarily that the intrinsic human value disappear?
Additionally, you argument is begging the question when you say it the creator who gave the intrinsic value. How do you know that?Which creator? when did he or she give it? and what is she or he?
I am not responsible for that. You can ask Him, if you don't know how to get in touch with Him, ask charles darwin.
NOW: You tell me, why are you addicted To God? How many times [per day] do you mention Him?
Belief with reasons = Christianity
The values have been embedded in our humanity... This is possible when there is a transcends to our norms as human . evolution or any other materialistic view can not produce a human being with some intrinsic value. It is the presence of the intrinsic values in human that dictates morals; an ability to deduce good from evils emanated from the inherent value that human being have be endowed with by the creator.
Instead of just questioning , put forward your world view for us to know your stance ...
Bible is there for those who seek knowledge for creation.
Belief with reasons = Christianity
The values have been embedded in our humanity... This is possible when there is a transcends to our norms as human . evolution or any other materialistic view can not produce a human being with some intrinsic value. It is the presence of the intrinsic values in human that dictates morals; an ability to deduce good from evils emanated from the inherent value that human being have be endowed with by the creator.
Instead of just questioning , put forward your world view for us to know your stance ...
Bible is there for those who seek knowledge for creation.
Ding Dong ding dong, ....
You can't even comprehend simple sentence. "Not responsible" IS NOT EQUAL TO "DO NOT KNOW".Haaah. you believe in something which you even do not know. better be an agnostic.
Charles Darwin was an agnostic and he proved religious faith wrong.
There is a man who said that "God is dead. We have killed him, me and you, we have killed him. The priests and pastors are preaching death and the churches and temples are the tombs"
You can't even comprehend simple sentence. "Not responsible" IS NOT EQUAL TO "DO NOT KNOW".
Haaah. Can you answer ma question if that is the case or you believe in something which you even do not know. better be an agnostic.
Charles Darwin was an agnostic and he proved religious faith wrong.
There is a man who said that "God is dead. We have killed him, me and you, we have killed him. The priests and pastors are preaching death and the churches and temples are the tombs"[
Quran inakutosha kukujibu. Pata muda , isome. Utajielewa kuwa ulipoteza muda wako bure kuamini hadithi za Paulo.
Put quran to test. Weka vigezo vyako ambavyo utavitumia kupimia Biblia na Quran halafu fanya hitimisho mwenyewe. That should be simple. Give it a try.
You may even take that as a challenge.