The Article of Union between the Republic of Tanganyika and the Peoples Republic of Zanzibar

Mzee Mwanakijiji, ni bahati mbaya sana, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, hauna mkataba wowote in a real sense ya mkataba wa kimataifa kati ya mataifa mawili huru. Tukishakubaliana kwamba hakuna mkataba kabisa, hapo ndipo ilegitimacy ya muungano ilipoanzia. Kilichopo sio mkataba wa Muungano bali ni makubaliano ya muungano, not a contract but only agreement just like MOU.Pamoja na kutokuwepo huo mkataba, mimi ni muumini wa Pan-Africanism kuwa Waafrika ni wamoja ila ni wakoloni ndio wamekuja kutuwekea mipaka. Hakuna ubishi Wahaya wanabelong chini ya Kabaka Empire enzi za Interlucustrine Kingdom ambapo kina Mkama Rumanyika were part and parcel, bali ni mkoloni ndiye aliyekuja kupiga mipaka wahaya kujikuta wako huku na Waganda kule, sawasawa na Wamasai wa Kenya na Uganda ni wale wale.Hatuhitaji paperwork documents be it hati au mkataba kuonyesha tumeungana, kama yalivyo mapenzi ya kweli toka enzi za mababu, hatukuhitaji hati/cheti cha ndoa kuthibitisha mapenzi na ndoa ni mpaka waipokuja wazungu na macheti yao.Hivyo Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulizaa Tanzania, hauhitaji paper work be it hati/mkataba ili kuuhalalisha, hata pale Nyerere na Karume waliposemezana tuu wao kwa wao ilitosha bila kuandika chochote popote. Tatizo hizi zote mbili zilishakuwa nchi huru kwa mujibu wa wazungu, mambo yanakwenda kwa hati na maandishi na ikibidi wananchi washirikishwe kitu ambacho hakikufanyika kwa mujibu wa taratibu.Kwa maoni yangu, Wanzanzibari ni wanafiki wa hali ya juu sana, kama waliukubali Muungano bila kuleta fyoko fyoko yoyote, iweje leo wakapitisha kura ya maoni kuulizia jambo dogo jema la kuwaletea umoja miongoni mwao, na wasitake kutumia fursa hiyo ya kura ya maoni kuwauliza Wanzanzibari jambo kubwa kama hili la Muungano na nchi nyingine?!.
acheni kuandika vitu msivyo vielewa...
 
hawawezi!! kwa sababu tukikubali wanaweza itakuwaje kama Kilimanjaro nao wanataka watoke kwenye Muungano (kumbuka kabla ya Tanganyika Kilimanjaro ilikuwa tayari kuwa taifa peke yake!); nini kitazuia haki ya wananchi wa Kagera kujitenga au Mtwara na Lini? Wawaulize wenzao wa Marekani ya kusini ambao walitaka kuvunja muungano wa US!!
mwanakijiji unatia aibu...historia ya zanzibar huijui na chanzo cha muungano hukielwi....wewe acha tu...sio lazima uchangie kila mada...you are just exposing
your weakness...
 
Buchanan mbona unataka tena kufunua mambo wewe, unaulizia uhalali wa Serikali ya Mapinduzi ilityoingia madarakani kwa umwagaji damu?. Usitake kuwachokoza Wanzanzibari kwa kuuliza hivi Mzanzibari ni nani?. Kama Karume Sn alitoka Malawi na akalowea Zanzibar, na watoto wake (Amani na Ali) aliwapeleka shule Malawi, ndivyo alivyo Kiongozi wa Mapinduzi ya John Okello toka Uganda, lakini kwa kila walichofanya Zanzibar, ni Wazanzibari.

Kuna aina mbili za serikali, De Facto na De Jure, Serikali De Jure ni serikali kwa mujibu wa Sheria, na Serikali De Facto, ni serikali za kimapinduzi ambazo hakuna uchaguzi wala Demokrasia. Serikali ya Karume ilikuwa De Facto kwa vile iliingia kwa mapinduzi, lakini Serikali iliyopo sasa Zanzibar, jina la SMZ ni jina tuu, lakini serikali De Jure iliyochagulia na wanmanchi, hata kama uchaguzi wao haukuwa uchaguzi huru na wa haki.

Serikali De Facto, ya Karume (Sr) ilikuwa halali au la? Kulingana na Sheria ya Mzanzibari (The Zanzibari Act, 1985) Mzanzibari ni nani hasa? Au kulingana na mawazo yako (bila kujali sheria anyway au tuseme De Facto kama unavyodai wewe) Mzanzibari ni nani? Ni wale Waarabu toka Oman ndio Wazanzibari?
 
.
Buchanan serikali De Facto na De-Jure, zote ni halali kwa sababu ndizo zinazotawala, hata serikali za kimabavu ni halali ndizo zinazotawala, hata serikali za kimapinduzi wengi wa viongozi wake wanaingia madarakani kwa umwagaji damu, na wengine ni damu hizo hizo zinawaondoa.

Master Sergent Samuel Doe at 23 alipomuua rais William Tolbert katika mapinduzi ya umwagaji damu na kumfukia kwenye kaburi la pamoja bila heshima zozote, naye hicho ndicho kilichomkuta. Bahati nzuri waandishi wa Mapinduzi 'Matukufu' ya Zanzibar, hawajaandika kilichowakuta waarabu waliojinjwa kwa majambia na wake zao na vibinti vyao kutwaliwa na kugeuzwa wake wa wanamapinduzi. Hakuna tawimu walikufa watu wangapi, nakumbuka kitabu fulani cha history O-Level kilitoa takwimu ya watu 64,000 kwa Zanzibar iliyokuwa na watu chini ya 500,000 that was a hell!.

Kama umefika Mji Mkongwe Zanzibar, Malindi etc yalikuwa ni maeneo ya Waarabu, wamejinjwa na sasa ndimo tukakaa kina siye.

Tangu hayo Mapinduzi ya 64, hakuna shughuli za siasa Zanzibar, hakuna vijana Wanzanzibari kujiunga Chuo Kikuu bara, (Elimu Zanzibar mwisho form 1V!), Hakuna uchaguzi wowote, ukimpenda binti wa Kiarabu kajitwalie, wapinzani walipotea without a trace (Ilisemekana baada ya kuteswa sana, walifungwa mawe shingoni na kutoswa baharini wangali hai! no trace of their bodies up to date!), ni Nyerere aliwanusuru kina Okello, Babu na Kanal Mafudha etc. Hata baada ya hayo, bado unauliza kama utawale ule ulikuwa halali, yes, halali lakini haukuwa wa haki.

Hili la Mzanzibari, ni la kulikalia chini na katiba ya Zanzibar, ila nchi zote zilizopata uhuru chini ya Mwingereza, katiba zake za uhuru ziliundiwa Wenstminster, Tanganyika ikiwa ni moja wapo, Watu wote walikokuwepo ndani ya ardhi ya Tanganyika ule usiku wa Desemba 9, Saa 6:00 usiku, wote walikuwa ni rais wa Tanganyika automatically including wazungu na wahindi wote, ila hawakuupoteza uraia asili wa nchi zao (dual). Naamini ndivyo ilivyo kwa Zanzibar, Karume alikuwa ni Mzanzibari hata wale ndugu zangu na Wanyawezi nao ni Wazanzibari, hata kama wao kule wanawaita Wazanzibara!.
 
Nashauri tu

KILA ANAYEUTOA MUUNGANO HUU DOSARI AWEKE PIA UMRI WAKE.

Hekima Ufunuo, umri una uhusiano gani na dosari za Muungano?. Hata ukifikisha miaka 100, wote waliokuwepo na walioushudia watakuwa wametangulia mbele za haki, kama dosari zipo, zipo, zitakuwepo na zitaendelea kuwepo, dawa ni kurirekebisha, sio kuzikwepa na kuziahirisha.

Muungano ni kama ndoa, kama kuna matatizo mnakaa pamoja mnayatatua, kama ni makubwa, mnahusisha wazee(wanasheria) mnatatua, yakishindikana kabisa jee?. Sasa dosari zilizopo ni ndogo juu japo ziko kwenye msingi wenyewe, yaani nyumba yetu ya muungano ina nyufa, tusipoziba hizi nyufa, ni lazima kusubiri kujenga ukuta.
 
hivi mnalazimisha watu kuungana nao???????kama hawataki si tuachane nao tu,kwani lazima???????wasione tumewang'ang'ania sana bure!!!!!!
 
.
Buchanan serikali De Facto na De-Jure, zote ni halali kwa sababu ndizo zinazotawala, hata serikali za kimabavu ni halali ndizo zinazotawala, hata serikali za kimapinduzi wengi wa viongozi wake wanaingia madarakani kwa umwagaji damu, na wengine ni damu hizo hizo zinawaondoa.

Master Sergent Samuel Doe at 23 alipomuua rais William Tolbert katika mapinduzi ya umwagaji damu na kumfukia kwenye kaburi la pamoja bila heshima zozote, naye hicho ndicho kilichomkuta. Bahati nzuri waandishi wa Mapinduzi 'Matukufu' ya Zanzibar, hawajaandika kilichowakuta waarabu waliojinjwa kwa majambia na wake zao na vibinti vyao kutwaliwa na kugeuzwa wake wa wanamapinduzi. Hakuna tawimu walikufa watu wangapi, nakumbuka kitabu fulani cha history O-Level kilitoa takwimu ya watu 64,000 kwa Zanzibar iliyokuwa na watu chini ya 500,000 that was a hell!.

Kama umefika Mji Mkongwe Zanzibar, Malindi etc yalikuwa ni maeneo ya Waarabu, wamejinjwa na sasa ndimo tukakaa kina siye.

Tangu hayo Mapinduzi ya 64, hakuna shughuli za siasa Zanzibar, hakuna vijana Wanzanzibari kujiunga Chuo Kikuu bara, (Elimu Zanzibar mwisho form 1V!), Hakuna uchaguzi wowote, ukimpenda binti wa Kiarabu kajitwalie, wapinzani walipotea without a trace (Ilisemekana baada ya kuteswa sana, walifungwa mawe shingoni na kutoswa baharini wangali hai! no trace of their bodies up to date!), ni Nyerere aliwanusuru kina Okello, Babu na Kanal Mafudha etc. Hata baada ya hayo, bado unauliza kama utawale ule ulikuwa halali, yes, halali lakini haukuwa wa haki.

Hili la Mzanzibari, ni la kulikalia chini na katiba ya Zanzibar, ila nchi zote zilizopata uhuru chini ya Mwingereza, katiba zake za uhuru ziliundiwa Wenstminster, Tanganyika ikiwa ni moja wapo, Watu wote walikokuwepo ndani ya ardhi ya Tanganyika ule usiku wa Desemba 9, Saa 6:00 usiku, wote walikuwa ni rais wa Tanganyika automatically including wazungu na wahindi wote, ila hawakuupoteza uraia asili wa nchi zao (dual). Naamini ndivyo ilivyo kwa Zanzibar, Karume alikuwa ni Mzanzibari hata wale ndugu zangu na Wanyawezi nao ni Wazanzibari, hata kama wao kule wanawaita Wazanzibara!.

Naona umekuja na maelezo mengi ndugu Pasco, kisheria mzanzibari ametafsiriwa kulingana na The Zanzibari Act, 1985, No. 5 of 1985 section 3 kama ifuatavyo:
3 (1) Any person who is a citizen of Tanzania in accordance with the laws relating to Citizenship, and that he has been residing in Zanzibar before and up to 12th January, 1964 shall be a Zanzibari.
(2) Any person who, as from the 26th day of April, 1964 is a citiizen of Tanzania and that he was born in Zanzibar shall be a Zanzibari if both of his parents or his father or his mother is a Zanzibari in accordance with this Act.
(3) Any person who is a citizen, and that before the 26th day of April 1964 was a Zanzibari shall be a Zanzibari if he has not lost his Tanzanian citizenship.
(4) Any person who is a citizen of Tanzania and that both of his parents or his father or his mother is a Zanzibari in accordance with subsections (1), (2) and (3) above shall be a Zanzibari.

Sasa kulingana na Section 3. niliyoi-quote hapo juu Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi hajatimiza masharti hayo? Maana mzee wa watu eti anaitwa sio mzanzibari! This is surely ridiculous, the law is crystal clear on this!
 
, alikuwa ni kibaraka wa Nyerere aliyewekwa kutimiza azma na malengo haramu ya Nyerere. Kumbuka Mwinyi kawekwa na Nyerere baada ya Nyerere kumfukuza Jumbe na alipoona yatamkuta yaliyomkuta Karume kwa kuwa watu waliazimia kulipa kisasi, alipewa urais wa Muungano na Wazanzibar wakampendekeza marehemu Idrissa Abdulwakil.

From takashi Hizo ni kasumba mlizo pewa na yule dictator (Nyerere). hapa humpati mtu,tafuta hao wengine uwajaze hizo kasumba... Waambie hao viongozi bongo

[/QUOTE]

[/QUOTE]
Baada ya kufuatilia huu mjadala kwa mdamrefu kidogo kuna kitu kimenitatiza hapo juu, kwenye Rangi nyekundu..
Mm ningependa msaada kutoka kwa watu haswa Mwanakijiji... mi nimezaliwa kipindi cha Nyerere anamalizia uongozi.. MTV generation.... Nimechukua mfano kwa watu wachache hapo juu ambao it seems nashindwa either kuwaelewa au ctaki kuwaelewa kutokana na sababu zangu.....
nilivyosoma shule katika masomo ya historia na Siasa/Uraia ckuwahi kusoma kuwa Nyerere Baba wa taifa alikuwa kiongozi mbaya.. plus na stori nilizozisikia na kijiweni its seemed ni mtu ambaye alikuwa na busara sana kuliko wakina Junius na Takashi(na wengineo) wanavyo mbeza...
ckatai nilichosoma shule kimendaikwa na Serikali ambao kwa obvious reasons hawawezi kuandika mabaya ya Baba wa Taifa hata kama yalikuwepo...

kwakifupi sijawahi kujua exactly what type of Kiongozi Nyerere alikuwa... mm kama kijana MTV generation ningependa msaada wenu hapa jamvini atleast mjaribu kunipa mwanga ili nijue wat type of kiongozi if not a person Baba wa Taifa alaf... alaf mm mwenyewe nitamchambua....

nime specify MM kwasababu ndo nimeona yy haja kuwa kumlebel ovyo ovyo so i make out haoni kama wakina Junius wanavyo ona kuhusu Mwalimu... ila wakina Pasco,Ngekewa,Nyani gabu,Junius,Mwana Falsafa na wengineo mnaweza pia kunisaidia pia...
it will be of great help...
 
[/SIZE][/FONT]

it will be of great help...[/QUOTE]

Sawa Kijana! Mimi binafsi nimepata fahamu zangu nikiwa naamini hivyo, kuwa Nyerere alikuwa mtu safi sana! Lakini kila nilipokuwa na kuona ukweli wa mambo nilianza kuona dosari za Kiongozi huyo. Pengine dosari alizokuwa nazo hazikuletwa na aina ya ubinafsi wa viongozi wetu wa sasa> Viongozi wetu wa sasa wana ubinafsi wa kushibisha matumbo yao na ya familia zao na hawana chembe ya uchungu wa nchi kama aliokuwa nao nyerere.

LAKINI Nyerere nae alikuwa mbinafsi wa aina yake na ubinafsi wake huo ndio uliotuletea matatizo kwa Taifa letu. Juu ya uzalendo wake Nyerere alikuwa anapenda kuonekana yeye ndiyo yeye, akitaka awe miongoni mwa wale viongozi waliokuwa wakitajika ulimwenguni. Nini matokeo yake? ni kuwa hakuwa mtu wa kuwashirikisha wananchi katika mawanzo muhimu bali alibaki kuwa mtowa mawanzo yeye peke yake. Katika kipindi alichokaa kwenye madaraka hakukuwa na mambo makubwa yaliyotolewa kwa mkusanyiko wa mawanzo bali mambo yote yalikuwa FIKRA ZA MWENYEKITI. Azimo la ARusha, Siasa ya Ujamaa. Chama kushika hatamu na mengi mengineyo yote yalikuwa mawanzo ya Mwalimu. Si tatizo lakini mawanzo bila ya kuwaelewesha watekelezaji hayawezi kuleta maendeleo yoyote na ndio maana kkila kitu kilshindwa.

Tukirudi kwa upande wa Zanzibar, Nyerere hajawahi kuwafanyia Wazanzibari jambo zuri la kuwafanya watu kama Junius hata mimi kumkumbatia na kumsifu. Nini katufanyia? Zanzibarkabla ya Nyerere kuiteka mojakwamoja kwa kisingizio cha kuunganisha vyama mwaka 1977, ilkuwa ikistawi na kuendelea kutokana na kuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yake wenyewe. Sasa Zanzibar imekuwa Gofu tu haiwezi kujiendeleza wala haioendelezwi. Namna ya utekaji wa Zanzibar ulivyofanywa na Nyerere ndio unaosababisha Wazanzibari kuwa na msimasamo walionao juu yake.
Wengi hujidai eti bila ya Muungano basi Wazanzibari wangepigana siku zote. Huu ni uongo mkubwa kwa vile hadi anakufa Karume Jeshi la Zanzibar lilikuwa halina watu kutoka bara na lilikabiliana na majaribio ya Mapinduzi zaidi ya mara tano na kwa kipindi chote baada ya Mapinduzi umwagaji wa damu Zanzibar ulifanyika 1995 na 2000 na ulifanywa na askari kutoka Bara.
Mdogo wangu nakueleza haya kwa uchungu sio chuki kwa kuona kuwa mimi ni Mtanzania lakini nakuwa kama niko kwenye kutawaliwa kwani kama sisi ni ndugu kwanini Mkubwa awe na choyo cha maendeleo ya mdogo wake?
 
=Ngekewa;911261]

Nashukuru kwa Intake yako.... Umenijibu vyema.......

Lakini cjaelewa ni nani mwenyewe choyo ya maendeleo ya mdogo wake? na kama upo hiyo choyo ni kwasababu ya nature ya undugu wao meaning kwamba mkubwa tangu mwanzu anamuonea choyo mdogo au ni result tu ya matatizo madogo madogo ambayo yametokea kwenye uhusioano wao.. Along the way
 
I want to know if the article of union between tanganyika and zanzibar is legitimate regarding the concept of constitutionalism
 
Dear JF members,

Please see attached analysis of the article of the union,

It is very educative,

What are the legal legitimacy of the union,

Source: The citizen(Dar es salaam) 28 July 2008

Elisante Yona
 
Attachments

  • The-Articles-of-Union.pdf
    75 KB · Views: 421
Watanzania wenetu tumejaribu kufanya uchunguzi mdogo kuwasiliana na UN. Tumewaandikia barua yenye heading "Request for Article of the Union between Tanganyika and Zanzibar in April 1964". Tumejitambulisha kama waTanzania na tunataka kupata hati hiyo. Chini ni tulichotumiwa straight kutoka UN. UN wamekili kuwa hawana document nyingine zaid ya hii juu ya hati ya muungano. Mwenye swali kuhusu hili wametupatia number za simu na email ambazo unaweza kuwasiliana na UN. Mawasiliano hayo ni
Information Management Unit
Information Centres Service, Strategic Communications Division

Department of Public Information, New York
Tel: +1-212-963-4397; Fax: +1-212-963-1893
Email: dpi_dis_unit@un.org

The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar

THE ARTICLES OF UNION

between

THE REPUBLIC OF TANGANYIKA AND THE PEOPLES' REPUBLIC OF ZANZIBAR
WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar being mindful of the long association of the peoples of these lands and of their ties of kinship and amity, and being desirous of furthering that associatio! n and strengthening of these ties and of furthering the unity of African peoples have met and considered the union of the Republic of Tanganyika with the Peoples Republic of Zanzibar:

AND WHEREAS the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples'Republic of Zanzibar are desirous that the two Republics shall be united in one Sovereign Republic in accordance with the Articles hereinafter contained:-

It is therefore AGREED between the Governments of the Republic of Tanganyika and of the Peoples' Republic of Zanzibar as follows: -

(i) The Republic of Tanganyika and the Peoples' Republic of Zanzibar shall be united in one Sovereign Republic.

(ii) During the period from the commencement of the union until the Constituent Assembly provided for in Article (vii) shall have met and adopted a Constitution for the united Republic (hereinafter referred to as the interim period) the united Republic

(i! ii) to (vi).

shall be governed in accordance with the provisions of Articles
(iii) During the interim period the Constitution of the united Republic shall be the Constitution of Tanganyika so modified as to provide for-

(a) a separate legislature and executive in and for Zanzibar from time to time constituted in accordance with the existing law of Zanzibar and having exclusive authority within Zanzibar for matters other than those reserved to the Parliament and Executive of the united Republic;

(b) the offices of two Vice-Presidents one of whom (being. a person normally resident in Zanzibar) shall be the head of the aforesaid executive in and for Zanzibar and shall be the principal assistant of the President of the United Republic in the discharge of his executive functions in relation to Zanzibar;

(c) the representation of Zanzibar in the Parliament of the United Republic;

(d) such other matters! as may be expedient or desirable to give effect to the united Republic and to these Articles.

(iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-

(a) The Constitution and Government of the united Republic.
(b) External Affairs.
(c) Defence.
(d) Police.
(e) Emergency Powers.
(f) Citizenship.
(g) Immigration.
(h) External Trade and Borrowing.
(i) The Public Service of the united Republic.
(j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise.
(k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.

And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and for the purposes of the united Republic and in addition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika.

(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-

(a) to any provision made hereafter by a competent legislature;

(b) to such provision as may be made by order of the President of the united Republic for the extension to Zanzibar of any law relating to any of the matters set out in Article
(iv), and the revocation of any corresponding law of Zanzibar;

(c) to such amendments as may be expedient or desirable to give effect to the union and to these Articles.

(v) (a) The first President of the united Republic shall be Mwalimu Julius K. Nyerere and he shall carry on the Government of the united Republic in accordance with the provisions of these Articles and with the assistance of the Vice-Presidents aforesaid and of such other ministers and officers as he may appoint from Tanganyika and Zanzibar and their respective public services.

(b) The first Vice-President from Zanzibar to be appointed in accordance with the modifications provid! ed for in Article (iii) shall be Sheikh Abeid Karume.
(vii) The President of the united Republic: in agreement with the Vice-President who is head of the Executive in Zanzibar shall-

(a) Appoint a Commission to make proposals for a Constitution for the united Republic.

(b) Summon a Constituent Assembly composed of Representatives from Tanganyika and from Zanzibar in such numbers as they may determine to meet within one year of the commencement of the union for the purpose of considering the proposals of the Commission aforesaid and to adopt a Constitution for the united Republic.

(viii) These Articles shall be subject to the enactment of laws by the Parliament of Tanganyika and by the Revolutionary Council of the Peoples' Republic of Zanzibar in conjunction with the Cabinet of Ministers thereof, ratifying the same and providing for the Government of the united Republic and of Zanzibar in accordance therewith.

IN WITNESS WHERE Julius K. Nyerere, the President of the Republic of Tanganyika, and Abeid Karume the President of the Peoples' Republic of Zanzibar have signed these Articles, in duplicate, at Zanzibar, on this twenty-second day of April, 1964.

Passed in the National Assembly on the twenty-fifth day of April, 1964.

Tunakiri kuwa hatujapewa document yeyote yenye sahihi za Mwl. Nyerere na Karume. Na hati tuliyo pewa imeorodhesha mambo kumi na moja (11) tu ya muungano.

Source: CHADEMA DIASPORA : STRAIGHT FROM UN: The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar
 
Hapa Serikali ya maccm itaumbuka.

Watoto wanamtaka mama yao mzazi,mleteni.

Wassira safari hii anayejidai spokeman wa serikali atakimbilia gombe.
 
Napata wakati mgumu kukuamini kutokana na hali halisi ya figisufigisu hizi zinazoendelea...
 
Napata wakati mgumu kukuamini kutokana na hali halisi ya figisufigisu hizi zinazoendelea...

Mkuu, hii kitu straight from UN. Huhitaji rocket science kufanya hike. Tumia email yao au simu wapiti watakutumia hii document. Hivi vitu ni for public consumption.
 
(iv) There shall reserved to the Parliament and Executive of the united Republic the following matters-

(a) The Constitution and Government of the united Republic.
(b) External Affairs.
(c) Defence.
(d) Police.
(e) Emergency Powers.
(f) Citizenship.
(g) Immigration.
(h) External Trade and Borrowing.
(i) The Public Service of the united Republic.
(j) Income Tax, Corporation Tax, Customs and Excise.
(k) Harbours, Civil Aviation, Posts and Telegraphs.

And the said Parliament and Executive shall have exclusive authority in such matters throughout and for the purposes of the united Republic and in addition exclusive authority in respect of all other matters in and for Tanganyika.

Source: CHADEMA DIASPORA : STRAIGHT FROM UN: The Articles of Union between Tanganyika and Zanzibar

Hivi ni kwlei haya Mambo yalikuwepo siku ya kwanza ya kusign hati ile? au haya yameongezwa mika ya karibuni?
kama ni Miaka ya karibuni inakuwaje sasa hii ikawa ndio original wakati haya mambo mengine ni ya juzijuzi tu?

Pili haya yaliio ongezwa jana jusa kauliza yalikuwa yanaongezwa vipi? maana mshirika Tanaganyika hayupo sasa ilikuwa yakaongezwa bila kujadiliana kwa znz na tanganyika?
 
UN walikubali vipi kupokea na kukaa na document isiyona saini?
Kama mkataba uliingiwa tarehe 22,ukapitishwa na bunge tarehe 25 na sio tar 26,Inakuaje tunasema Muungano ni wa tarehe 26? Nini kilitokea tar 26? Au sherehe!
 
Back
Top Bottom