The dirt paka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 371
- 69
"Bwana Mungu akasema, Si Vema Huyo Mtu Awe Peke Yake, Nitamfanyia Msaidizi Wakufanana nae, KATIKA BIBLIA MWANZO 2 :
21.Bwana akamletea Adam usingizi mzito nae akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake, 22.Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke akamletea Adam....24. Kwahiyo mwanamume atamwacha baba na mama yake nae ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja.
BASI KUOA AU KUOLEWA NI MPANGO WA MUNGU.
Lakini sisi tunafanya nini tunapotafuta wenzi?
TUTATAZAMe VISA VYA WANAWAKE NA WNAUME WANAPOTAFUTA WENZI HUTAZAMA NINI KWAUFUPI.
Naanza na kisa cha wadada wengi.
Mwanamke anaetaka kuolewa husemasema anataka mwanaume mwenye mwili aliyejazia/baunsa.
SWALI JE HUWA ANATAFUTA
MUME AU SECURITY GUARD?. Itaendelea..........
Kama we ni kimodo kama mimi endelea kujifaji na maandiko mkuu, ipo siku utampata wako..
Sijasema kuwa binadamu alikuwa Sokwe zamani ila kama Viumbe wengine amepitia mabadiliko mbalimbali kuanzia ya Kiakili mpaka ya Kimwili! Fanya utafiti kuhusu hili na utathibitisha na Pia kwa Mungu unayemuamini kuna siku utagundua kuwa ulikuwa unamwamini MUNGU ambaye siye! Anza kujikagua kwanza kuanzia hisia zako, Mwili wako na fikira zako na ujiulize ulizaliwa (umezaliwa na wala hukuumbwa kama unavyodhani) zikiwa hivyo zilivyo leo au zimepitia mabadiliko mbalimbali kwa kujifunza? Nitakupa mfano: Toka ulivyozaliwa Mwili wako wenyewe umepitia hatua za mabadiliko mbalimbali kibaojia kuanzia kunyonya, kuota meno kutambaa, kutembea, kuongea kutokana na mazingira ulimokulia na kadhalika! Je hata hili ni umu kwako kuelewa?Aura reader mi naamini Mungu ndiye aliniumba mimi na kila kitu, Mungu ndiye chanzo cha kila kitu, Hebu jiulize ni miaka mingapi imepita na hatuoni masokwe na manyani mengine yakibadilika kuwa watu.
Sijasema kuwa binadamu alikuwa Sokwe zamani ila kama Viumbe wengine amepitia mabadiliko mbalimbali kuanzia ya Kiakili mpaka ya Kimwili! Fanya utafiti kuhusu hili na utathibitisha na Pia kwa Mungu unayemuamini kuna siku utagundua kuwa ulikuwa unamwamini MUNGU ambaye siye! Anza kujikagua kwanza kuanzia hisia zako, Mwili wako na fikira zako na ujiulize ulizaliwa (umezaliwa na wala hukuumbwa kama unavyodhani) zikiwa hivyo zilivyo leo au zimepitia mabadiliko mbalimbali kwa kujifunza? Nitakupa mfano: Toka ulivyozaliwa Mwili wako wenyewe umepitia hatua za mabadiliko mbalimbali kibaojia kuanzia kunyonya, kuota meno kutambaa, kutembea, kuongea kutokana na mazingira ulimokulia na kadhalika! Je hata hili ni umu kwako kuelewa?
usalama kwanza.