The African Presidents index...find out how Kikwete did!

Indices
Mo Ibrahim Index: Score = 55.0, Rank = 16
Democracy Index: Score = 5.28, Rank = 96 (Hybrid
regime, Republic)
Press Freedom Index: Score =13.00, Rank = 41
Corruption Index: Score = 2.7, Rank = 116
Human Development Index: Score = 0.398, Rank = 148
(Low human development)
NMG index: 7/10
Final Grade: 60.39

-------------------------------------------------------------------

Mtoa mada, kwenye link ulikotuelekeza kule nimepata taarifa hizi hapa chini kama sehemu ya vigezo vilivyotumika kumpima 'HERO WAKO JK'.

Badala ya kuyameza tu kama ambavyo ungelipenda iwe, kinyume chake naomba ukajibu maswali haya hapa chini:

1. How realistic are these monitoring and evaluation??
2. Under what time-frame has the data collection been perfomed???
3. How were the M&E indicators constructed???
4. What is the expertise and credibility of the person who conducted the entire study??
5. Of the thousands of JF Members inside here ever happens to have been a RESPONDENT to this study??

Congratulations na heko humo humo JK for having scored the 'B-' grade in 'Quality Leadership' ambayo sisi wananchi wako hatuifahamu!!!!

 
Cjaelewa hapa!

Kuna jamaa nadhani wa idara ya habari na mahusiano pale ikulu ambaye angelipenda tuamini ya kwamba Shujaa wake JK ni kiongozi bora ambaye hata huko kimataifa kapata alama ya juu sana ('B-') kwa waliomfanyia tathmini ya uongozi wake.

Hiyo alama hapo juu inamaanisha kwamba JK ni one of the 'Highest Quality Leaders' in the continent akishika namba 10 katika bara zima. Kwa mantiki hiyo, huyu kiongozi anapaswa awe ni mtu anayekubalika kweli kweli nchini mwake.

Sasa mpaka kuiba kura ndio arudi ikulu ndio namhoji mleta mada naye akaitetee hoja yake hiyo lakini sijui kaingia mitini???
 
Ajabu Alassane hajashika Ofisi tayari amepewa namba 21 kwenye orodha. Naye Kibaki namba 16 pamoja na wizi wake wa mchana kweupe. Sasa kama hawa ndiyo cream wa Africa kwa nini bara lisitangazwe kuwa ICU. Upupu tu huu
 
Back
Top Bottom