Gaga
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 4,558
- 1,968
Ila usiwe na wasiwasi Mr. Rocky, kila binadamu anakuwaga na end of the road yakeNdio anachofanya
Asipokujibu ina maana kuwa nafasi bado ipo na hata mwingine atakayekuja jamaa anasema yuko single bado
So kila mmoja anategemea kuwa kuna siku ataambiwa wewe ni mhusika na hiyo nafasi bado haijamdondokea hata mmoja
hata mwezi na jua huwa vinakamatana, natamani aje hapa na yeye na special r.m