Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Kazee ka kuvizia cheap free throws, kanarusha tatu wakati huo kanijgonga kwenye mikono ya watu wanaokazidi nyama hili kakikosa kapewe FT uchezaji wa kihuni sana huu.Raptors 3 points hawawez na zinawafanya wahangaike sana kupata basket. Wanapata tabu sana kumkaba Curry