The 20 best airlines in the World

The 20 best airlines in the World

Leo huyajui madhaifu ya Amerika.???

Nikiyajua au nisipoyajua, that's neither here nor there. Hakuna mtu, kitu, nchi, jamii, au chochote kile kisicho na mapungufu.

Sawa sio ishu ya msingi lakini siumewaona jinsi walivyo hao wa Qatar airways, biashara matangazo.!!!

Yeah, biashara matangazo na ndo maana kwenye hiyo fleet ya Qatar Airways kuna madege ya Boeing, American made and American owned.

Kila sehemu kuna wadada warembo, hata kwa Nkurunzinza wanapatikana bana..

Sasa kama unalitambua hilo nongwa inatoka wapi?

Wewe ishu ikiwa ya many individuals inakuwa ni state matters, huwezi kutenganisha.

Hivi unajua Marekani kuna airlines ngapi wewe?

teh teh teh mimi nipendezwa na post ya Tokyo40 wala sina hiyana na jambo lolote.

Sasa yale ma pom pom yalikuwa ya nini uliponijibu kwa kuninukuu?
 
Marekani peke yake haitengenezi Boeing siku hizi. Zamani 747 zilikuwa 95% zinatengenezwa nyumbani.

Siku hizi, wanatafuta suppliers nje kupunguza gharama.

Outsourcing is the name of the game.

Wachina wanamtengenezea vertical fins za 737. Kampuni inaitwa Xian Aircraft Company.

Inboard flaps za 737 zinatengenezwa na Mitsubishi Heavy Industries ya Japan.

Wanazalisha kwa kutumia "lean manufacturing principles" za Toyota.

Boeing will continue to be based in America for political (to win military contracts) and also for business reasons (efficiency, tax breaks) but more and more suppliers are outsourced whenever they can, to save money and stay competitive.

Dreamliner 787 is made by engineers and suppliers from America, Japan (jamco) Germany (diehl elekronik), Sweden (saab aerostructures), France(thales), Italy( alenia aeronautica) and Britain (rolls royce, b/e aerospace, messier dawty).

30% of supplies come from foreign suppliers.

source:
economist.com
telegraph.co.uk
money.cnn.com
 
Mbona nyingi ni za waarabu tu

Ni kweli,kwanini?
Advantage wanayopata mashirika yao mengi bado ni machanga kiumri.
kwaiyo most o their fleet ni mpya ukilinganisha na msahirika ya Ulaya au MArekani.
Average life span ya ndege ni miaka 25 walau na gharama ya kununua ndege mpya ni kubwa sana.
Hawa waarabu wana petril dollars na wamewekeza recently na aggressively kwenye hizi biashara.
Kwaiyo its vividly obvious wao ndio watakuwa na posh&elegant designs za ndege na huduma nyingine..
 
Thats why its more advisable to set your industry more mobile...
Leo hii walikuwa wanazalisha simu za apple foxxcon, sahivi wanataka kuhamia vietnam...
Cost ya kuzalishia foxxcon imepanda kwasababu ya labor costs...
Sasa hivi addidas amehamia indonesia kwasababu ya labor cost kuwa chini...
 
In order to be competitive, you need to be flexible and adopt to changes.

There is no "uzalendo" in global business. Only maximum profits.
 
Mbona nyingi ni za waarabu tu

Ni kweli,kwanini?
Advantage wanayopata mashirika yao mengi bado ni machanga kiumri.
kwaiyo most o their fleet ni mpya ukilinganisha na msahirika ya Ulaya au MArekani.
Average life span ya ndege ni miaka 25 walau na gharama ya kununua ndege mpya ni kubwa sana.
Hawa waarabu wana petril dollars na wamewekeza recently na aggressively kwenye hizi biashara.
Kwaiyo its vividly obvious wao ndio watakuwa na posh&elegant designs za ndege na huduma nyingine..
 
Ndio, hapa nilikuwa napahitaji siku zote. Hakuna jamii iliyokamilika, vile vile hakuna taifa bora kwa kila kitu. Kila taifa lina mapungufu yake. Amerika yuko imara sana kwenye teknolojia ya mitandao, lakini sehemu nyingine zitabaki kwa wenyewe.

Wewe huipendi Marekani na ndo maana una mtazamo huo. Lakini ukweli unabaki palepale kuwa Marekani ndo taifa kubwa pekee duniani.

Kinachofanyika Amerika ni assembling tu, lakini karibia vitu vingi vinatoka nje ya Amerika kwa mfano; wing manufacture ni Japan, horizontal stabilizers, flap support & wheel well bulkhead ni South Korea, fuselage sections ni Italy, landing gear, passenger doors & wiring ni France, Software development ni India, Engine ni UK na turbines ni Sweden. Bado nasafi ya Amerika ni ndogo sana.

Kuna nchi ambayo inatengeneza kila kitu, mwanzo mwisho, yenyewe?

Pamoja na ubora wa ndege zao, wahudumu wa kampuni nyingine wanajua kukarimu, tofauti na kampuni nyingi za Amerika. Ndio maana hapo utaona hakuna hata kampuni moja ya Amerika.!!!

Hii wala siyo big deal hata kidogo. Na Marekani ina makampuni mengi mno ya ndege kiasi kwamba kusema yote ni mabaya si sahihi.

Huwa hatuangalii idadi, tunaangalia ubora wa huduma kupitia vifaa vilivyo bora.

Hahahaaaa naona umeng'ang'ania kweli hapo.

teh teh teh kama nimekuboa potezea, lakini ukweli utabaki pale pale hakuna kampuni bora kutoka Amerika.

Mweh! Ushapata hoja basi imekuwa nongwa.

Haya, hakuna kampuni bora ya Kimarekani kwenye 20 bora lakini aminia hizo kampuni 20 zilizotajwa kuwa ni bora [ambalo nalo ni jambo la mtazamo] zote zinarusha ndege za Kimarekani - American made and American owned.

Take that, take that!
 
Hahaaa, hawakufikia viwango Mkuu!
Kina Delta airline wahudumu vizee, chakula duh kuna siku nliambulia utando wa wali!!
Wapuuzi sana. Nilibahatika kupanda ndege Yao. Kwanza ka screen cha video ni Kama inchi 2*2!! Kuagiza soda nikaambiwa hawatoi bure! Kuwapa tembo card yangu, akasema hawapokei credit card, kumpa noti ya $20, akasema hamna chenji. Ilibidi muhudumu acheke anipe Soda bure.
 
waarabu wanaongoza kwa ubora wa ndege ambazo hazijatengenezwa nchini mwao, ubora wa ndege zao unazidi hata wa nchi zile ambazo ziliunda ndege hizo, sasa wa kumsifia nani? chukua mfano ndege za waarabu walizozinunua japan au germany au the US ni bora kuliko ndege za japan, germany au US ambao ndio manufacturer, sasa wa kumpa sifa hapo nani?
 
Back
Top Bottom