That tatoo so awesome

Ila kabanga replies zako nyingine ni fupi zaidi ya andunje

ah! mshana jr, lakini zinaeleweka... wajua nini sababu kubwa? ni kwamba kama vile tunavyokuwa shule ukiwa ukomai sana hata kwenye pepa hukai sana sababu huna vitu vingi vya kuandika....
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaa haya mkuu ila natamani kukutana na na wanaJF wa A-Town niko hapa picnic
 
Pale stendi kama unaenda kwenye mabasi ya Moshi ukikata upande wa kulia zile hotel zinazomilikiwa na mtu mmoja, bei yake bado elfu hamsini?
 
kwa dar naeza pata wapi wamapochora tattoo classic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…