That tatoo so awesome

3D Tatoo, mie napenda kuchorwa tatoo ya hela ya noti kiunoni na iwe ya 3D
 
kivipi kiongozi wangu HARUFU....
Tokea nilipojiunga nilikuwa nikifuatilia wachangiaji tofauti tofauti, lakini Uchangiaji wako ni wa kipekee sana, mfupi na wenye kueleweka na kisha ni wa aina ya kipekee
 
Tokea nilipojiunga nilikuwa nikifuatilia wachangiaji tofauti tofauti, lakini Uchangiaji wako ni wa kipekee sana, mfupi na wenye kueleweka na kisha ni wa aina ya kipekee

Hahahahah...nilijua peke yangu lol
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Inakupendeza sana ile uliojipumzisha kwenye fridge, hebu irudishe kwanza mkuu

Aaah nimeshapata baridi bhana....huoni nilivyochukia hapo baada ya kutolewa kwenye friji langu?
 
Tokea nilipojiunga nilikuwa nikifuatilia wachangiaji tofauti tofauti, lakini Uchangiaji wako ni wa kipekee sana, mfupi na wenye kueleweka na kisha ni wa aina ya kipekee

Ahsante kiongozi wangu HARUFU....
 
Last edited by a moderator:
Nilimuona akiwa busy na shughuli zake, akimaliza bila shaka atapita mtaa huu.

BAK ni kweli kabisa kaka na muda huu niko njiani narudi dar my last seen ilikuwa usiku mwingi jana
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…