Chagga King
JF-Expert Member
- Jul 6, 2011
- 1,933
- 1,179
Kwa muda nimekuwa niktumia windows phone, hasa Nokia Lumia, hii simu kwenye OS ilikuwa Ni shida Sana hasa kwenye internet sharing since Lumia amber mpaka Lumia Black, hizo zilikuwa na lot of bugs,
Lakini since imekuja hii Lumia Cyan kwa Tanzania, imekuja na mabadiliko mengi Sana yaani mengi, kwa wanaotumia watakuwa wanaelewa, nimei update simu yangu now na feel alright, maana ilikuwa Ni shida.
For those ambao hawaja update niwashauri fanyeni ku update maana naamini Kuna notification Ina suggest hivyo, save kwa wale wanaotumia Lumia 925 naona hizo zilikuja na Lumia Cyan kabisa.
Kama huelewi u can ask.
nashindwa tofautisha kati ya developer na cyan.. maana kwng Nina developer.. he naweza pats cyan? cc: chief-mkwawa
msaada jinsi ya kufix maandishi kuchezacheza hadi hayasomeki(flickering) hard reset na soft nimejaribuusisahau kudownload na files.
usisahau kudownload na files.
msaada jinsi ya kufix maandishi kuchezacheza hadi hayasomeki(flickering) hard reset na soft nimejaribu
Kuna tatizo moja limenifanya niichukie hii simu yangu ya nokia.
Nikipokea simu au nikishika kioo na kitu kama mafuta inakuwa kama inastuck hivi, kioo hakirespond wala kufanyaje
Inabidi ulock screen then uifute na kitambaa ndo unaweza kuendelea. Imenichosha
ni yanachezacheza hadi icon zinachezacheza kiasi ya kwamba hauwezi tumia simuumejaribu kuflash rom mpya na nokia care? na yanapokuwa yanacheza we unahisi ni software au hardware? labda ni maandishi tu yanacheza au mpaka mwanga unapungua na kuongezeka
una cyan au developer preview?
pia hujaeka lockscreen app yoyote?
jaribu kwenda setting then touch angalia kama sensitivity kama ipo high. kama ipo high change iwe normal.Nina developer preview.
Hili tatizo nilikuwa nalo toka nikiwa na win 8.0 na mimi sio mtu wa kujaza apps, natumia hardly apps 5/6 tena zile basic ones
Unaweza ukawa unachat au unapokea simu, baada ya hapo unakuta sreen ina stuck huwezi kufanya kitu.
Unatakiwa kuilock screen unafuta kioo na kitambaa then una unlock unaitumia.
Nimekutana na hili tatizo kitambo sana na mbaya zaidi power button yangu imeharibika so nikiwa mbali na charger ikistuck nashindwa kuitumia tena hadi nichomoe battery then niirudishie nitafute sehem yenye umeme then nichomeke charger iwake.
Imagine unasafiri dar arusha, au unaenda sehemu ambayo unahitaji mawasiliano.
Hii hali inanifanya niichukie window
jaribu kwenda setting then touch angalia kama sensitivity kama ipo high. kama ipo high change iwe normal.
Nina developer preview.
Hili tatizo nilikuwa nalo toka nikiwa na win 8.0 na mimi sio mtu wa kujaza apps, natumia hardly apps 5/6 tena zile basic ones
Unaweza ukawa unachat au unapokea simu, baada ya hapo unakuta sreen ina stuck huwezi kufanya kitu.
Unatakiwa kuilock screen unafuta kioo na kitambaa then una unlock unaitumia.
Nimekutana na hili tatizo kitambo sana na mbaya zaidi power button yangu imeharibika so nikiwa mbali na charger ikistuck nashindwa kuitumia tena hadi nichomoe battery then niirudishie nitafute sehem yenye umeme then nichomeke charger iwake.
Imagine unasafiri dar arusha, au unaenda sehemu ambayo unahitaji mawasiliano.
Hii hali inanifanya niichukie window
mkuu na mm power button imeharibika. kuna sehemu wanaweza ifix hii kitu?