WANA,
NAWATAKIA IJUMAA NJEMA NA MAPUMZIKO YALIYO MEMA YA MWISHO WA WIKI.
MSISAHAU KUCHEZA SALAMA.
FUNGUA ATTACHMENT KWA KUIFANYA IJUMAA IWE NZURI ZAIDI. http://www.box.net/shared/qagb3j3h8s
Kawaida game zinafanyika kwenye viwanja na kwa weekend hii wengine viwanja vyao ni kwenye counter za bar..so popote unapokwenda kwenye kiwanja cha mchezo unashauriwa ucheze salama ili uendele kuwa salama natuzidi kukuona kwenye baraza
kawaida game zinafanyika kwenye viwanja na kwa weekend hii wengine viwanja vyao ni kwenye counter za bar..so popote unapokwenda kwenye kiwanja cha mchezo unashauriwa ucheze salama ili uendele kuwa salama natuzidi kukuona kwenye baraza