Kweli kabisa mkuu, kwa upande wangu niligundua nampenda huyu kijana baada ya yeye kuhama, kwa kweli usingizi ulikuwa wa nadra, mawazo, mpaka nikatamani niandike tangazo gazetini lol.......nilipomuona niliruka na mimi ndio nilimkimbilia nikamkumbatia yaani mambo niliyofanya hao ni kama nilikuwa namwambia ndio nimekukubali kwa vitendoAsante kwa hadith nzuri, inapendeza. Hapo penye rangi nyekundu na maandishi makubwa ndio pamenigusa zaidi. Watu wengi hukumbwa na hilo, mfano mtu anaweza kumuacha mkewe ama mumewe kwa vishawishi au kwa kutomuona kuwa hapendezi. Kisha baadae aliyeachwa akipata mwengine, yule mume ama mke wa kwanza huanza kujuta kwa alimuacha na wakati mwengine hufikia hatua ya kuleta vurugu. Hii yote ni kwa kuwa aliyeachwa amepanda thamani baada kuachika ama kupotezwa na mume ama mke wa kwanza.
Amemnyima access ya Internet Kaizer sio mtu mzuri kabisa aisee lol!!!Kaizer halafu mwenzako yuko wapi siku hizi? thanx sana sana, honeymoon ilikuwa bomba mbaya
Hahahaha!!!! Wenyewe wakiona hauna gari wanachapa lapa lol!!!Vijana wa siku hizi mnawezekana? unataka uwe na nyumba na gari ndio uoe, utajuaje sijui mtu kafata penzi, nyumba au gari, nawaombea sana aisee....honeymoon was mmmmmh yamy yamy na libonge la zawadi
Fikiria hadi mimi ambaye ni mtu wa karibu pia nimepigwa marufuku huu si uonevu jamaniIli aendelee na romance sio!!! hahahahaaaa sio fresh mwambie asimbanie
Kaizer halafu mwenzako yuko wapi siku hizi? thanx sana sana, honeymoon ilikuwa bomba mbaya
Amemnyima access ya Internet Kaizer sio mtu mzuri kabisa aisee lol!!!
Ili aendelee na romance sio!!! hahahahaaaa sio fresh mwambie asimbanie
hizi research za kufanyia vijijini hiz! hatahakuna access za net huko loo, tumuombee uzima, pole shem wangu
Nakumbuka enzi hizo na mme wangu tulikuwa tunatembea kwa miguu kutoka disco kwenda homeHahahaha!!!! Wenyewe wakiona hauna gari wanachapa lapa lol!!!
Sitakusamehe kirahisi hivi......yaani inbox yangu iko wazi muda wote ikisubiri PM zako... Hata kunifinya sikio LOL.Ahsante babu, nili ku promise lakini, unakumbuka?
wewe sijui ulipotelea wapi, na kuna watu walikuwa wanakutafuta sana uwajibu maswali
yao kwenye thread ya ulikuwa wapi siku zote......ukaingia mitini
Kwani umesahau mara ya mwisho nusu amtoe makucha humu, si ulikuwa uko nae bize sana
kwa maswali na majibu
Mhh babu mbona hata kwenye thread yako ya shati lako na my wife wako nilikwambia unanibania hujamwaga mabaraka humu? wewe mtu muhimu bwanaSitakusamehe kirahisi hivi......yaani inbox yangu iko wazi muda wote ikisubiri PM zako... Hata kunifinya sikio LOL.
Ngoja nikayajibu hayo maswali yao. Ahsanye kwa kunifahamisha.....kumbe na mimi huwa namisiwaga? Siamini wallah LOL