BobKinguti
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 228
- 87
wewe umetumia tunnel software ipi manake na mimi nlitaka kufanya hii kitu ikanimbia nchi yangu haiko supported.....!!!!!!
Nilitumia ASTRILL VPN CLIENT UNDER OPENVPN MODE. Nadhani hata pdproxy inaweza kusaida kubypass hiyo restriction.