Miruzi mingi humpoteza MBWA .....mbwa alikuwa anaendelea kufanyavizuri sana mawindoni!Sasa yapata mwezi mmoja [net].. tangu watoto wadogo wajaribu kumchezea sharubu mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba.
Honestly, huu mwezi huu uliopita umekua mgumu na mrefu sana kwetu.
Nachoshukuru "tatizo" lililotusibu mpaka watoto wadogo wakajaribu kutuchezea [nasema walijaribu kwa kua simba hua hajaribiwi kamwe.. nasisitiza hua hajaribiwi.. nadhani mmenielewa] tumeliona.. na tumeliondoa.
Swali: How??
Jibu : Ni siri ya kambi.
17.12.2016 mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba, anarejea tena mawindoni.. Na our next target ni Ndanda FC. Na hii itakua ni katika mzunguko wa pili wa VPL.
ANGALIZO:
Kua makini unapokutana na mnyama Simba... ila kua makini zaidi unapokutana na Simba aliyejuruhiwa.
Tatizo tumeshaling'amua.. Hivyo kaeni chonjo.. TUNAKUJA.Miruzi mingi humpoteza MBWA .....mbwa alikuwa anaendelea kufanyavizuri sana mawindoni!
Ghafla wenye mbwa wakaanza kupiga miruzi kwa furaha na kupagawa , Matokeo yake ndio hayo....MBWA keshapotea na anatokomea kusikojulikana
FUNDISHO
MBWA akifanya vizuri safari ijayo acheni kupiga miruzi mingi atarudi tu na mawindo[emoji96] [emoji96] [emoji13] [emoji13]
Mbona kama huyu mnyama mwenyewe ameshazeeka, ndio maana miaka minne yote watu wanchezea sharubu tu bila kuwa na madhara yeyote, anaenda mawindoni anarudi akiwa kanyofolewa sharubu zote na meno pia, Safari hii akishangaa wanamnyofoa hadi nyeti [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa yapata mwezi mmoja [net].. tangu watoto wadogo wajaribu kumchezea sharubu mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba.
Honestly, huu mwezi huu uliopita umekua mgumu na mrefu sana kwetu.
Nachoshukuru "tatizo" lililotusibu mpaka watoto wadogo wakajaribu kutuchezea [nasema walijaribu kwa kua simba hua hajaribiwi kamwe.. nasisitiza hua hajaribiwi.. nadhani mmenielewa] tumeliona.. na tumeliondoa.
Swali: How??
Jibu : Ni siri ya kambi.
17.12.2016 mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba, anarejea tena mawindoni.. Na our next target ni Ndanda FC. Na hii itakua ni katika mzunguko wa pili wa VPL.
ANGALIZO:
Kua makini unapokutana na mnyama Simba... ila kua makini zaidi unapokutana na Simba aliyejuruhiwa.
Hebu ngoja nigoogle naeza pata jibu ni liniSina kumbukumbu.. Vipi wewe unajua ni lini?
Sina kumbukumbu.. Vipi wewe unajua ni lini?
Wakikujibu najitoa JF sasa hivi...Yanga ndiyo kila kitu. Mnabisha?
Hivi mala yamwisho Simba kuchukua ligi ni lini kweli!!!!!
Mkuu, baada ya zile mechI mbili za mwisho ulienda sehemu isiyo na network. Nashukuru upo Sasa umerudi kwenye mtandao.Sasa yapata mwezi mmoja [net].. tangu watoto wadogo wajaribu kumchezea sharubu mnyama mkali mwituni pengine kuliko wote, Simba.