Thanks JF

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Dec 8, 2010
7,517
6,502
Kwanza niseme hodi, lakini kiukweli mimi si mgeni kutembelea hapa JF kwa ujumla, kwani ni msomaji wa muda mrefu wa hili jukwaa ili tu sikuwa nimejiunga. Kwa sasa nipo nje ya nchi kwa muda na ni jukwaa hili linaloniliwaza na ma upweke ya huku, thats why I say Thanks JF. Hata Habari za uchaguzi nilikuwa nategemea hapahapa, na kwa kweli nilihabarika hata kama zingine zilikuwa kwa mfumo wa tetesi lakini tuliombali na nyumbani ndo hivyo tena.

Mimi ni msomaji zaidi kuliko kujangia lakini nadhani JF inanipa changamoto ya kujifunza kesema. Thanks to all members.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom