Namwamini Mungu BABA Mwenyezi Muumba wa mbingu na nchi
Namwamini Yesu Kristo Mwana Wake wa pekee,Bwana wetu,aliechukuliwa mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu,akazaliwa na Bikira Maria,akateswa zamani za pontio Pilato; akasulubiwa, akafa, akazwika; akashuka kuzimu.siku ya tatu akafufuka kutoka kwa wafu; akapaa mbingunk; ameketi mkono wa kuume wa Mungu;Baba Mwenyezi .kutoka huko atakuja kuwahukumu walio hai na wafu.Namwamini Roho Mtakatifu; Kanisa takatifu la kikristo,lililo moja tu ushirika wa watakatie; ondoleo la dhambi; kufufuka kwa mwili, na uzima wa milele .Amin