Hii jamani nimeiona leo nilipokuwa napitia baadhi ya majukwaa... sasa sifahamu imesababishwa na kitu gani... Angalia picha hapa chini:
:
:
:
: View attachment 3839
Ndio ujue wabongo hawana imani, sasa jamaa anaforce kuongeza credit za JF si inatoa statistics, ukimpa madaraka lazima replicate style yake ya kifisadi.
Naungana na wewe katika hili! Kwa maoni yangu kama manjonjo au vikorombwezo ambavyo member amependa kuviweka mbali ya avatar na ID haviathiri set up ya JF (kwa mfano ktk kupost, kutuma pm, thanks etc) naona hakuna neno kabisa, kwa mimi naona hiyo ya Sinkala ni kama tu signing notes! na vinginevyo kama kufanya hivyo kuna madhara nadhani ''mods'' wangeshafanya the needful!