Thanks God..Thanks to all JF friends !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thanks God..Thanks to all JF friends !!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by FirstLady1, Jun 20, 2011.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Sina budi kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo .
  Leo ni anniversary yangu ya ndoa 4 years ...nina furaha sana juu ya jambo hili jema kwangu
  Pia kukaa na mwenza mbali ni ngumu kwa maisha ya kawaida ..
  ukweli ni kwamba kwa uwezo wangu pekee nisingeweza lakini mwenyezi ...
  Mungu wa haki na rehema ananipigania na kuniwezesha
  Kuna wakati kunakuwa na mawimbi na dhoruba kama upepo wa bahari
  lakini inafika kipindi hali inakuwa shwari na tulivu maisha yanaendelea...
  Namshukuru mungu anaendelea kuipigania na kuiongoza family yangu..
  Thanks my beloved husb and my lovely Doughter M...
  Nawashukuru sana wanaJF kuwa pamoja nami kwani tumekuwa kama family ambayo..
  baadhi yenu huwa mnanihoji maswali wewe mama Rais unatafuta nn JF usiku wote huu prezidaa yuko wapi?
  Ukweli ni kuwa anakuwa katika safari zake za kutafuta mkate wa kila siku....
  Nikiwa mpweke sana naingia JF kubadilishana mawazo nanyi ndugu na marafiki zangu....nafarijika
  nazipenda nasaha zenu wote zipo nazojifunza ,naburudika hata nacheka na kuongeza siku za kuishi.
  Pia wapenzi mabinti na kina kaka ambao hamjaoa na kuolewa ..msikate tamaa wala msiwe na haraka ya jambo hili
  Mungu mwenyewe aliahidi katika maandiko matakatifu ...atatupatia msaidizi wa kufanana nae ..na anajua kabisa mahitaji yetu ya kimwili na kiroho
  Msife katika imani kwani mungu hachelewi wala hawahi..yeye hutoa kwa wakati wake tusipozimia mioyo yetu...
  Tuendelee kuombeana ktk safari ya maisha ...msisahau kufanya cheers kwa ajili yangu:happy:

  [​IMG]
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Mamito, May GOD bless you and your family muishi maisha marefu yenye amani na furaha siku zote. Ubarikiwe
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hongera sana...Sa jioni tutakuwa wapi, Kawekamo au Nyamanoro?
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Malaika hotel my shemeji unakaribishwa sana ...
   
 5. LD

  LD JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hongera sana dada, na mimi namshukuru Mungu kwa ajili yenu, Mungu azidi kuwapigania, kuwalinda na kuwatunza. Awe neema ya kuishi maisha ya kumpendeza yeye, awape furaha na amani siku zote. Tusisahau pia sisi hapa duniani ni wasafiri na wapitaji, kwa hiyo Mungu awape neema ya kumaliza safari hii ktk hali ya utakaso. Mbarikiwe sana.
   
 6. RR

  RR JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hiyo cheers tunafanya individually au unatualika ikulu?
  Dah....hongera FL1.......

  BTW: Saa 08.39am ni usiku?
   
 7. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera sana FL1 mungu aendelee kuwaongoza na kuwaangazia baraka zake ..miaka hiyo kwa sasa si haba
   
 8. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Asante sana MJ1 kwa baraka zako ,na iwe hivo sasa na hata milele
  namuomba mungu aendelee kutuongoza till end of time ..
  Ubarikiwe
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Asante sana LD...leo nimeamka najisikia furaha sana ..i wish ingekuwa weekend nikakaa na membaz wa JF angalau tukafanya Cheers na kubadilishana mawazo asante kwa kusisitiza maisha ya utakatifu siku zote..
  Be blessed
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Hahahah RR naomba mchango wako wa kimawazo kwa jinsi nilivyo na furaha lolote laweza kufanyika ..
   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Nashukuru sana mdada amen na iwe hivo na kwako pia ..........
   
 12. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Hongera sana mama wa kwanza..........Mungu awaongezee maisha marefu ya ndoa yenye furaha na amani. Mungu awajalie watoto wengine kama mpendavyo wakaizunguke meza yenu ya chakula.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  KBD kama ulikuwepo kwenye mawazo yangu ..nataka watoto zaidi ya 12 mie mungu anijalie hili ....asante sana kwa baraka zako
   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  ":third:Go confidently in the direction of your dreams. Live the life you have imagined."

  Hakika umetimiza. Mungu akuzidishie.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,025
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hongera sana na kila la kheri kwa changamoto zijazo.
   
 16. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hongera sana mamii, Mungu azidi kumwaga baraka na upendo katika ndoa yako, haijalishi hata kama anasafiri au yuko mbali, cha muhimu ni kujielewa kwamba ana family yake inayomuombea na kumpenda, zidisha upendo kwa mumeo mara difu uone mafanikio yake, maisha haya tunayoishi yana kila aina ya mazengwe , cha kujiuliza ni vipi tunayaruka haya mabonde na milima na kuendeleza libeneke
  Mwisho nakutakia Anniversary njema with full of love.....
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hongera Sana Mkwe ngoja kwanza nipigepige misele kwanza maeneo ya Capripoint huku nikitoka naenda Ghana, Bwiru na Kirumba kucheki washikaji halafu nitakuja Malaika
   
 18. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  asante sana CPU nimefurahi ha ha ha
   
 19. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kila la kheri my dear, Mungu abariki familia yako.
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Jun 20, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Asante sana Gaga kwa maneno mazuri na yenye nasaha njema
  ni kweli maisha tunayoisha sasa yamejaa matukio mengi na ya kustaajabisha
  Sitaacha kupiga goti langu mchana na usiku wote kuomba ulinzi wake mola uendelee kuizunguka familya yangu
  asante Gaga
   
Loading...