Thanks and Thanked wapi tena?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Thanks and Thanked wapi tena??

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zogwale, Oct 29, 2009.

 1. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,601
  Likes Received: 787
  Trophy Points: 280
  Wakuu nilitoweka kwa muda kidogo, karibu status itagota zero. Leo nimepita nimeona items za Thanked and Thanks zero. Kutizama za wengine tena hivyo hivyo ila nyingine zimeanza kukua.

  Mkuu Invisible sasa tutapataje data za top thanked/Thanks?? Unajua hizi kama motivation/incentive/appreciation kwa mtu aliyepost thread/replies kuwa hanoured in some way.

  At the same time hainizui kuchangia hapa.

  Anyway, I am not being rigid ila ni mtizamo tu mkuu. Sijui wengine mnaonaje!!!??
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,712
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  ...chukua yangu moja hiyo...! :D
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,601
  Likes Received: 787
  Trophy Points: 280
  Asante mkuu kwa kuniliwaza. Ndiyo umefungua ukurasa ati. Ngoja na mimi ni kusenkiyu.
   
Loading...