Hatimaye nmepata kazi kupitia hapa. Ushauri ni kwamba; kwa wanaotafuta kaz msipende kuchagua post. wewe ukiona post ya kazi tuma maombi. u never know. Mimi nliapply tu bila hata kujua mahali ofisi ilipo hadi siku ya interview ndipo nkaelekezwa. na sasa ni muajiriwa wa hiyo kampuni, tena ni kubwa tu. Thnx again