Thank You God, Finally namiliki Yangu!

Thank You God, Finally namiliki Yangu!

Leo nimefurahi sana baada ya kupata kifaa cha [HASHTAG]#TECNOPhantom6Plus[/HASHTAG] chenye camera 21#megapixels na 4GB #RM, kiukweli nakula burudani kisawasawa. Mfukoni inamilikiwa na mimi mwenyewe, chezea!
fetch

TECNO Phantom6 Plus suits My Pockets!
Duuh lilivyokuwa refu, ukiinama tu limekula kidevu.
 
Leo nimefurahi sana baada ya kupata kifaa cha [HASHTAG]#TECNOPhantom6Plus[/HASHTAG] chenye camera 21#megapixels na 4GB #RM, kiukweli nakula burudani kisawasawa. Mfukoni inamilikiwa na mimi mwenyewe, chezea!
fetch

TECNO Phantom6 Plus suits My Pockets!
Sh.ngapi mkuu. Mimi nilikuwa na Haya masimu ya samsung shida sana. Yaani lilifreeze huku naona na macho
 
Leo nimefurahi sana baada ya kupata kifaa cha [HASHTAG]#TECNOPhantom6Plus[/HASHTAG] chenye camera 21#megapixels na 4GB #RM, kiukweli nakula burudani kisawasawa. Mfukoni inamilikiwa na mimi mwenyewe, chezea!
fetch

TECNO Phantom6 Plus suits My Pockets!
Wacha nikupe hongera tu,maana nikikuuliza siku ukitembelea hii mashine yangu sijui itakuwaje....Nitakuwa nakutukana tu.
 
Dah!
Mkuu nimeingiwa na hali fulani fulani ivi baada ya kusoma hili

Hongera sana mkuu

Usitembee nayo usiku sasa wasije wakakupora ukavirudia vibatani
Hahaaa! Weee, navaa68yuhj89jkn
Dah!
Mkuu nimeingiwa na hali fulani fulani ivi baada ya kusoma hili

Hongera sana mkuu

Usitembee nayo usiku sasa wasije wakakupora ukavirudia vibatani
Hahaaa, weee, navaa pensi ya jinsi ndani halafu naiweka humo ndio naingia kwe daladala.
 
Leo nimefurahi sana baada ya kupata kifaa cha [HASHTAG]#TECNOPhantom6Plus[/HASHTAG] chenye camera 21#megapixels na 4GB #RM, kiukweli nakula burudani kisawasawa. Mfukoni inamilikiwa na mimi mwenyewe, chezea!
fetch

TECNO Phantom6 Plus suits My Pockets!
congrats, pesa yote ya kufungua geti imeishia hapo.
 
Dah!
Mkuu nimeingiwa na hali fulani fulani ivi baada ya kusoma hili

Hongera sana mkuu

Usitembee nayo usiku sasa wasije wakakupora ukavirudia vibatani
siyo vibatani tu bali akapata ugonjwa wa moyo......mana kuibiwa simu si kitu kidogo.
 
Utacheki asa utakavyotuma mapicha picha fb kuwa makini na haka kasheria kapya kamtandao
 
Haya pika na pilau na pepsi baridii unogeshe.
 
Back
Top Bottom