The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 502
- 292
Hivi ni kweli unajua makubaliano ya hawa vijana na Said Fella? Unafikiri hawalipi? Kwanini usifikiri hata swala la kujenga nyumba nalo lilikuwa wazo lao pia?
Hivi kama kweli unasema hakuna kibaya anacho fanya Fella kwanini unaonesha wasi wasi? Ulitaka awape Tsh ngapi ndio uone ame wathamini? Usinge taka kujua kiasi alicho wapa?
Kwanini tuamini kila mtu ni mwizi ikiwa hatuwezi kuthibitisha ni mwizi?
Kuna kuwa na maneno mengi kwakuwa mnafikiri ni wao pekee ndio wana stahili kupata pongezi lakini mnasahau kuna studio,wapiga vyombo na wanao tunga nyimbo nao wanatakiwa kulipwa!
Hakuna atakalo fanya Fella mshindwe kuongea
Pia usisahau kuna wasanii walishapotea na majina yao na nyimbo zao hata kibanda cha vyumba viwili hawana nadhani ndio maana labda fela anaamua kuwajengea nyumba kama zawadi na mishahara yao ipo palepale
Hakuna kibaya alichofanya na Ndio maana nasema kama umesoma between lines thread Yangu ungeelewa sababu nimempa credit Kwa anayofanya. Lakini hilo halitoshi sababu vijana wana stahili Zaidi ya anachowapa
Kwanini awajengee nyumba? Kwanini asiwape chao wakajenga wenyewe? Na kama anawapa mgao stahiki iweje vijana wakose Gari Mpaka wasubiri Fela ampe Zawadi tena Kwa mbwembwe kwenye media?
Mwanzoni walikuwa wanaitwa 'Mkubwa na wanawe'.
Baada ya smash hit single 'ya moto' ndo wakaanza kujulikana kama Ya moto band.
Ule wimbo wa 'Ya moto' ni mzuri sana.
Mwaka jana haukushinda tuzo yoyote ile.
Mwaka huu je?