Thamani ya Saimon Msuva ni Mil 700/=.

Usihofu tukimuuza mke wetu tuliyempiga kitu mwezi machi tutawalipa wote. Tunasubiri tu ajifungue huko alipokwenda kwa mashemeji zake Etoile du sahel.

Mwambie AVEVA aiweke rehani club ya Simba sc ili apate mkopo wa angalau Million 560/=.........!
 

Wenyewe walionunua Danny Sserenkuma kwa Milioni 210/=....baada ya nusu msimu wanatangaza Kufilisika klabuni....!
 
Nimejaribu kupitia nyuzi nyingi tu humu jukwaani nimegundua kuna kitu kinaendelea.
Uongozi wa JF na Invisible wao wanawapa Ban washabiki wa Timu moja tu lakini wa timu nyingine hata zitoe maneno makali kiasi gani hawaguswi.
Uongozi wa JF ujitathmini kama unatenda haki la sivyo ujitangaze kabisa tujue unashabikia timu gani, maana kuna uzi mwingine wa week end hii (Simba na Azam) washabiki fulani wametoa maneno makali mno lakini hawajaguswa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…