Thamani ya mwanamke au binadamu yoyote huiwezi fananisha na pesa, iwe kazini au kimapenzi.
Yeah baadhi ya wadada wanadhani mapenzi ni pesa, lakini nakuhakikishia unaweza fanya vyote ukapata hizo pesa hata ziwe container zima, lakini kama hukuna mapenzi ni kazi bure, coz mwanzo aliingia na gia ya pesa sasa ameshakuwa nazo let say kapata billionaire fulan pesa sio shida but at the end anakuja kurealize pesa ni zaidi ya mapenzi