Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,076
- 34,847
mshana jr hiyo yako kaliShida Ni Kwamba Ukiendekeza Kula Vichwa Vya Samaki Mchemsho Wake Ambao Ni Mtamu Sana Hukosi Kunuka Kikwapa Tena Kile Kibaya
Farkhina sitanii ni kweli kabisa nilikuwa napenda kula sana michemsho ya vichwa vya samaki daily hasa pale Moroco kuna bar ilikuwa inaitwa Neema nilikuwa na rafiki yangu wakati tukiwa ofisi moja mikocheni
Baada ya muda tukaanza kunuka kikwapa kinachofanana ,binafsi sipendi kunuka napenda kunukia kuja kuchunguza nikaambiwa kama nakula vichwa vya samaki daily niache au nipunguze nikaacha kabisa pamoja na rafiki yangu !!
Farkhina huwezi amini tatizo liliisha mazima !SITANII NI KWELI KABISA na ilikuwa wayback 2004/5
Farkhina sitanii ni kweli
kabisa nilikuwa napenda kula sana michemsho ya vichwa vya samaki daily
hasa pale Moroco kuna bar ilikuwa inaitwa Neema nilikuwa na rafiki yangu
wakati tukiwa ofisi moja mikocheni
Baada ya muda tukaanza kunuka kikwapa kinachofanana ,binafsi sipendi
kunuka napenda kunukia kuja kuchunguza nikaambiwa kama nakula vichwa vya
samaki daily niache au nipunguze nikaacha kabisa pamoja na rafiki yangu
!!
Farkhina huwezi amini tatizo liliisha mazima !SITANII NI KWELI KABISA na
ilikuwa wayback 2004/5
Itabidi nikuamini maana kujaribu hapana mimi
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
MziziMkavu una asili ya kihindi nn? Anaona chukuchuku nyekundu kwa pilipili
Mumie hilo jina tu lenyewe linatisha! mzizi mkavu
Umeona enhee?.dawa ya mitishamba hio
Ahsante kwa hili pishi. Mi huwa napenda mchemsho wa sato unakuwa plain (naweka chumvi na limao tu labda na mbatata chache sana). Huwa naona sangara ana shombo sana kwa supu, mara nyingi huwa namuweka kwenye foil. labda huwa nakosea kumuandaa. Leo naenda nunua sangara nijaribu pishi lako
Mie kichwa cha samaki napenda sana