hizo zote ni rahisi sana kama dishi lako ulisha kuwa unalitumia kupata itv basi pima sentimita nane tu kushuka chini katika kile kidude kinachoingia ndani kutoka pale ulipokuwa unapata itv pia katika lnb ya c band toa kile kidude cha ndani wakati unaseti kama umekaa nyuma ya dishi zungusha kidogo upande wa kulia kwako anza kutafuta thaicom ndio rahisi tp zenye freq kubwa 3575H6500 AU 3520H28125 AU 3551H13333 utapata zaidi ya channel 300 ikiwemo na ten sport ambayo sasa hivi ipo free usipofanikiwa utaniambia nikupe maujuzi zaidi
Samahani Mkuu, hizo sentimita nane zinazotakiwa kupimwa kutoka inapopatikana itv haitaingiliana na ilipo LNB inayotumika kukamata Ajazeera? (C Band 68.5)? Na hicho kidude unachokisema kinatolewa ni kipi? Tumia sketch kama inwezekana sisi wengine bado wanafunzi kwenye hayo makitu.hizo zote ni rahisi sana kama dishi lako ulisha kuwa unalitumia kupata itv basi pima sentimita nane tu kushuka chini katika kile kidude kinachoingia ndani kutoka pale ulipokuwa unapata itv pia katika lnb ya c band toa kile kidude cha ndani wakati unaseti kama umekaa nyuma ya dishi zungusha kidogo upande wa kulia kwako anza kutafuta thaicom ndio rahisi tp zenye freq kubwa 3575H6500 AU 3520H28125 AU 3551H13333 utapata zaidi ya channel 300 ikiwemo na ten sport ambayo sasa hivi ipo free usipofanikiwa utaniambia nikupe maujuzi zaidi