Ndugu Mwanakijiji,
Kwa heshima na taadhima tungekuomba labda utueleze lile ulilolikusudia kutueleza na sisi tukuhukumu wewe na sio kuturushia hii thread.Sidhani kama ni fair kumjudge mtu kwa kutuonyesha picha,aidha unalako wataka kulisema na hujui uanze vipi so unataka baadhi ya wasiojua mambo ya siasa waropoke.ukituuliza sisi fikra zetu tutakwambia Mwanakijiji anajitayarisha kujifanyia ama kumfanyia mtu ama kikundi fulani kampeni.Tuko tayari kukusikiliza hoja zako ila tunakuomba uwe muwazi. Think Twice.
SAHIBA.