nyamakonge JF-Expert Member May 28, 2013 363 130 Aug 15, 2014 #1 Wakuu msaada kwenu kuhusu kiwango cha mshahara hapo juu kwa mwaka huu 2014/2015
M MZAWA JF JF-Expert Member Apr 4, 2014 4,146 3,392 Aug 15, 2014 #3 hiyo ndio Secta ya afya bhanaaaa! TGHSB(Certificate), form 4 + certificate analingana na TGSC (Diploma) form 6 + diploma wa sekta nyingine
hiyo ndio Secta ya afya bhanaaaa! TGHSB(Certificate), form 4 + certificate analingana na TGSC (Diploma) form 6 + diploma wa sekta nyingine
nyamakonge JF-Expert Member May 28, 2013 363 130 Aug 15, 2014 Thread starter #4 karibukwetusingida said: 570000tshs Click to expand... Nashukuru mkuu ,ndo mtu wa diploma anaanza nacho enhee.
karibukwetusingida said: 570000tshs Click to expand... Nashukuru mkuu ,ndo mtu wa diploma anaanza nacho enhee.