Taarifa zilizoenea kuwa, Timu yetu ya Taifa, al-maarufu kama "Taifa Stars" Imefungwa Magoli 7-0 kutoka kwa Algeria ni za uongo na tunawaomba wapenda soka na WATANZANIA kwa ujumla wazipuuze maana hazina ukweli wowote na zinalenga kuwagawa Watanzania na kuleta chuki zisizokua za msingi, Aidha SECRETARIETI yetu inaendelea na ujumlishaji wa matokeo na Kufikia kesho matokeo yatakua tayari na yatatangazwa Rasmi.
MUNGU Ibariki TANZANIA