TFF wawataja GSM kwenye post ya twitter huku wakiwadharau NBC

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
16,270
2,000
mtarukaruka sana kama maharage yasiyoiva TFF HAWAJUI ACCOUNT YA TWITTER YA MDHAMINI MKUU WA LIGI ? hiyo nbc-tanzania wao wameitoa wapi wakati account halisi ni NBCTanzania?...
Chuki itakuua. Mbona walipitisha fomu za kugombea tff hukujitokeza wewe unayejua kutag?
 
Zimba XXV

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
1,036
2,000
Huu mkataba unaosababisha hadi CEO wa Simba kufukuzwa uwanjani na familia yake, huu mkataba unaolazimisha Simba avae nembo begani kwa milion 5 kwa mwezi ilihali anao ATCL na AFricarriers waliotoa buses 4 na hawako hata kwenye jezi ni wa ajabu sana...
Hii ligi tutamaliza mwezi wa nane hukoo yaani ndio kwanza timu zimecheza mechi nane tuu
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
16,270
2,000
chuki waliyoanzisha wanajulikana.... tusaidiana kumaliza wote JINO KWA JINO
Sisi wengine huu ushabiki maandazi wa Simba na Yanga ambao badala ya soka pekee unahusisha mpaka familia hatuutaki. Ukileta lalamiko leta lenye mantiki siyo kuungaunga vitu. TFF wana madhaifu yao lakini mengine mnayaweka kishabiki mno. Mfano;

Ni ushahidi upi kwamba Barbra alizuiwa kwa hinda? Umepewa kadi moja ya VIP badala ya ku adhere na mashariti yake wewe unachukua hizo free pass za wajumbe wa timu za VVIP wao unawalipia tiketi za kawaida halafu unaingia pass imeandikwa RASHID HAMDUNI huku katoto ka kike!

Hata ulaya tunaona wachezaji wakubwa siku ya fainali familia zao zinakaa jukwaani na watoto wa wachezaji, wakishachukua ubingwa wanashuka nao kupiga picha, kwa nini wote wasipelekwe VVIP?
 
pachachiza

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
1,750
2,000
Mtu mwenyewe anaitwa njaa kali inabidi mumuonee huruma. Sio yeye mahangaiko rohoni ndio yanampa shida.
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,108
2,000
kitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simba
Sasa wewe njaa kwani hiyo nembo anavaa simba peke yake?? Yani akili za mashabiki na viongozi wenu zinafanana kwa kila kitu. Mbona timu nyingine hazilalami kama nyie?? Yani nyie ndo muwe tofauti na timu zote 15??

Wacha tuone hili litaishaje ila tu simba imeanzisha varangati lisilo na kichwa wala miguu.
 
ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
4,224

GSM haja udhamini Simba amedhamini league hio pesa inaenda kwa team zote hio hela vunja bei kagera sugar na Mbeya kwanza wanaipata? tumia akili japo kidogo
 
ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
4,224
2,000
kwa akili yako unaona HAPO KARIA NA WEHU WENZAKE WA TFF WAME TAG ACCOUNT SAHIHI YA NBC? HUONI HAONA U BLUE? YAANI MAIN SPONSOR TFF HAWAJUI HATA TWITTER HANDLE YAKE? HALAFU HOME SHOPPING CENTRE WANAKUWA TAGGED KABLA YA MDHAMINI MKUU...
Kwahiyo hii ina mahusiano gani na matokeo ya jana
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,012
2,000
GSM haja udhamini Simba amedhamini league hio pesa inaenda kwa team zote hio hela vunja bei kagera sugar na Mbeya kwanza wanaipata? tumia akili japo kidogo
wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utopolo kwa milions 60 kwa mwaka na jezi hiyo hiyo ina logo ya kit supllier wake vunja bei anayempa milions 1,000 kwa mwaka? kavalisheni kina geita gold siyo simba haivaliwi hiyo nembo mtake msitake
 
zanzibakwetu

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
606
500
kitita ndico milioni 60 kwa mwaka? yaani vunja bei anayetoa ,milioni 1000 kwa mwaka tuitaje ? LIKITITA SIYO? kwa taarifa yake afri carriers katoa mabasi 4 kwa simba anakaa kwenye jezi za simba queens na team za vijana halafu yanatokea matapeli yanataka simba wavae nembo yake begani kwa milions 5 kwa mwez, wajinga nyie kwelikweli..hiyo billlions 2 inayowatoa roho kina karia fred vunja bei kaiweka pale simba
Sasa wewe unaumia nn? Mkataba si wa Tff na kampuni ya GSM na una masharti tofauti na hiyo mikataba ya hao wengine unaowasema.Tumia akili kufikiri makolo fc
 
zanzibakwetu

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
606
500
Sasa wewe njaa kwani hiyo nembo anavaa simba peke yake?? Yani akili za mashabiki na viongozi wenu zinafanana kwa kila kitu. Mbona timu nyingine hazilalami kama nyie?? Yani nyie ndo muwe tofauti na timu zote 15??

Wacha tuone hili litaishaje ila tu simba imeanzisha varangati lisilo na kichwa wala miguu.
Na hakuna duniani timi iliyopambana na Chama Cha soka Cha nchi yake ikashinda vita hiyo mfano Timu ya Barcelona ilijaribu kutikisa laliga ikaomba poo hivyo Simba anatokisa TFF atajuta na ataomba poo mwenyewe.muda utasema
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,012
2,000
GSM haja udhamini Simba amedhamini league hio pesa inaenda kwa team zote hio hela vunja bei kagera sugar na Mbeya kwanza wanaipata? tumia akili japo kidogo
wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utoplo kwa milions 60 kwa mwaka na
Sasa wewe unaumia nn? Mkataba si wa Tff na kampuni ya GSM na una masharti tofauti na hiyo mikataba ya hao wengine unaowasema.Tumia akili kufikiri makolo fc
team mnaiita makolokolo fc sababu ia matangazo mengi bado mnalilia waweke matakataka ya home shopping centre kwa milion 5 per month ..KANUNUENI LOTIONS ZA SUNGLASSES KWA AJILI YA MLEMAVU WA NGOZI KWA HIVYO VI PESA WEKENI BILIONS 10 KWA MWAKA MUWEKEWE UCHAFU WENU KWENU JEZI ZA MABINGWA NCHI
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
1,012
2,000
Na hakuna duniani timi iliyopambana na Chama Cha soka Cha nchi yake ikashinda vita hiyo mfano Timu ya Barcelona ilijaribu kutikisa laliga ikaomba poo hivyo Simba anatokisa TFF atajuta na ataomba poo mwenyewe.muda utasema
home shopping centre upuuzi wenu utakaa kwa wapuuzi wengine siyo kwenye bega la kushoto la simba, never wakitaka waifutie simba usajili tena hata kesho wakitaka
 
ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
4,224
2,000
wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utoplo kwa milions 60 kwa mwaka na

team mnaiita makolokolo fc sababu ia matangazo mengi bado mnalilia waweke matakataka ya home shopping centre kwa milion 5 per month ..KANUNUENI LOTIONS ZA SUNGLASSES KWA AJILI YA MLEMAVU WA NGOZI KWA HIVYO VI PESA WEKENI BILIONS 10 KWA MWAKA MUWEKEWE UCHAFU WENU KWENU JEZI ZA MABINGWA NCHI
Jina lako lina sadifu
 
Akwota

JF-Expert Member
Dec 15, 2016
771
1,000
wapuuzi kweli nyie yaani simba avae takataka ya home shopping centre kit supplier wa utoplo kwa milions 60 kwa mwaka na

team mnaiita makolokolo fc sababu ia matangazo mengi bado mnalilia waweke matakataka ya home shopping centre kwa milion 5 per month ..KANUNUENI LOTIONS ZA SUNGLASSES KWA AJILI YA MLEMAVU WA NGOZI KWA HIVYO VI PESA WEKENI BILIONS 10 KWA MWAKA MUWEKEWE UCHAFU WENU KWENU JEZI ZA MABINGWA NCHI
Duh,mkuu ume-coment kwa hasira sana,relax ni mpira tu na haya matimu yapo tu na maisha mengine yapo tu.
 
Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
3,108
2,000
Na hakuna duniani timi iliyopambana na Chama Cha soka Cha nchi yake ikashinda vita hiyo mfano Timu ya Barcelona ilijaribu kutikisa laliga ikaomba poo hivyo Simba anatokisa TFF atajuta na ataomba poo mwenyewe.muda utasema
Na mbaya zaidi vitu wanavyolalamikia havina mantiki kabisa, viko wazi kabisa kua wao ndo wanakosea ila wanatafuta huruma kwa kua wana maahabiki wengi na viongozi wa kiserikali wako timu yao, so wanajihami kihivo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom